johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na iweRais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika
Source BBC news
Huyu mzee ana dementia sio bureRais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika
Source BBC news
Vita iko ukingoniIsraeli isimwamini sana mmarekani haeleweki huyo atakuja kuachiwa msala peke yake ohoo.
Kabla ya yeye kuwepo Middle East kulikuwaje!?Huyu mwamba asingekuwepo huko mido east sijui ingekuwaje leo..🤨
Bado mbichi hii kila siku IDF wanazika wanajeshi wakati wenzao wanazika watoto na raia wengine.Vita iko ukingoni
Hamas wameshatoa shukrani kwa Mataifa ya Kiislamu yaliyowasaidia kisha.wametokomea kusikojulikana!
Wenzako wanajaza Maji ya Chumvi huko!Bado mbichi hii kila siku IDF wanazika wanajeshi wakati wenzao wanazika watoto na raia wengine.
Uaniona hii [emoji116]ni leo asubuhi Gaza unaweza kuwahi mazishi ni saa 10 huko Ashdod . Hii ngoma bado mbichi sanaa.Wenzako wanajaza Maji ya Chumvi huko!
Shughuli imeisha hata Putin amekubali matokeo [emoji23]
Teh! Hamas hawafi?Bado mbichi hii kila siku IDF wanazika wanajeshi wakati wenzao wanazika watoto na raia wengine.
WanakufaTeh! Hamas hawafi?
Kwa hiyo unataka waitangazie dunia kwamba Israel imefutwa kwenye ramani ya dunia ndio ionekane kwamba wametoa habari za ukweli.Ukiwa puppets wa elites unasema kila kitu unachojickia, vip vietnamu,Libya,iraq,somalia,yugoslavia na afghanistan walienda kwa ajili ya kuwasaidia raia waliowema! Hii dunia kweli ipo ukingoni maana western media sasa hazioni aibu katika kutoa habari za uongo.
Usinikulupukie maana hakuna sehemu yeyote ambayo nimesapoti Wayahudi feki wa kizungu wafutwe, ungesoma vizuri kabla ya kuniquote kwa mahaba yako.Kwa hiyo unataka waitangazie dunia kwamba Israel imefutwa kwenye ramani ya dunia ndio ionekane kwamba wametoa habari za ukweli.
You must be crazy if not cretin.