Lugha nzuri ni ipi..ππUsinikulupukie maana hakuna sehemu yeyote ambayo nimesapoti Wayahudi feki wa kizungu wafutwe, ungesoma vizuri kabla ya kuniquote kwa mahaba yako.
Mie pia napenda palestina na isreali waishi kwa amani. Ndio maana namshukuru MUNGU kwa mapenzi yake kuamua nizaliwe Tanzania.
Lakini usichokijua wew nikwamba Hawa puppets kina biden wanatumiwa kama kondom na watu hatari ambao wamewaweka hapo ili kusaidia kufanikisha mipango yao miovu katika dunia hii. Afu tumia lugha nzuri unaponiquote.
Israel lobbyists na Zionist Sympathizers ndio wanaotawala Marekani.Sasa marekani ilishindwa Vietnam, Somalia, Afghanistan. Na sasa Ukraine inapumulia mashine. Ni kitu gani hicho kinachoipa confidence kuwa Inaweza kuisaidia Israel?
BWANA asipolinda mji, aulindaye afanya kazi bure
[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja tumwite Bibi aje asome angalizo lakoIsraeli isimwamini sana mmarekani haeleweki huyo atakuja kuachiwa msala peke yake ohoo.
Roho za majeshi ya Isreal yanayoteketea atazirejesha?Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika
Source BBC news
Mwambie atabaki kuota, si yeye wala Netanyahu wanauwezo wa kupigana na Hamasi.Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika
Source BBC news