hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
- Thread starter
-
- #21
Niliingia kwenye biashara ya smart watch, nilimpata supplier anayeniuzia kwa 15,000 zile zenye mikanda saba. Itoshe kusema nina suppliers wengi kwa sasa na ninauza mawasiliano yao kwa bei poa 😄Ulinunua na kuuza nini? Kwa sasa pesa yako ikoje......au iliisha salama?
Hapana mkuu sasa hv mimi ni mtaalamu wa haya mambo😆Huyu atakua ameingia kwenye 18 za wadada wa mjini tayari😂
Unauza mawasiliano au unauza bidhaa??Niliingia kwenye biashara ya smart watch, nilimpata supplier anayeniuzia kwa 15,000 zile zenye mikanda saba. Itoshe kusema nina suppliers wengi kwa sasa na ninauza mawasiliano yao kwa bei poa 😄
Mkuu umeufufua uzi, naamini mleta mada atakuja atoe uzoefu wake, tuombe tu asiwe amekutana na akina mwajuma ndala ndefu...Ulinunua na kuuza nini? Kwa sasa pesa yako ikoje......au iliisha salama?
Karudi na ameonyesha kwamba ameshavuka kiunzi cha kwanza cha wadada wa Town..Sasa umilionea unamnyemeleaKumbe mwenye uzi ameshafika tayari!
Mtu akihitaji supplier contacts namuuziaUnauza mawasiliano au unauza bidhaa??
contacts za supplier unauza sh ngapi?Mtu akihitaji supplier contacts namuuzia
Inbobo😆contacts za supplier unauza sh ngapi?
Tunataka experience yako, utushirikishe ulipofikia kama ulivotushirikisha mwanzo.... Mzunguko wa 10m, umefanikiwa kuagiza na bado unaendelea, uliona fursa nyingine, au mambo yalishindikana.Mtu akihitaji supplier contacts namuuzia
Kutoka kuzungusha bidhaa za 10m hadi kuuza contact si mchezo 🤣🤣🤣🤣Karudi na ameonyesha kwamba ameshavuka kiunzi cha kwanza cha wadada wa Town..Sasa umilionea unamnyemelea
Yeah business is business, as long as i am making money. You have a problem with that?Kutoka kuzungusha bidhaa za 10m hadi kuuza contact si mchezo 🤣🤣🤣🤣
Itakua huyu bwana anatuficha labda..Pengine ameangukia Pua tayari😂Kutoka kuzungusha bidhaa za 10m hadi kuuza contact si mchezo 🤣🤣🤣🤣
We bado fukara. Kama unauza contanct.Yeah business is business, as long as i am making money. You have a problem with that?
Afu ni kawaida tu kwenye biashara unaanguka unabaki 0 unainuka tena ukiwa umejifunza makosa yako, maisha yanasonga.Itakua huyu bwana anatuficha labda..Pengine ameangukia Pua tayari😂
Sijawahi kujinasibu kwamba mimi ni tajiri. Ufukara ninao na ninatamba nao una nyiongeza? Kuna watu hamuwezi kubishana kwa hoja kistaarabu sasa endelea kuniletea shombo ndio utanijua nilivyo fukara kuanzia fikra mpaka kinywaWe bado fukara. Kama unauza contanct.
Mleta Uzi anashindwa kuelewa kuwa, Kuna wanaotoa ushauri na Kuna wanachukua ushauri anaopewa yeye pia.....!Yaan mtu anafungua thread ya kuomba ushauri wa mambo ya biashara kwa nia njema.. baada ya muda wadau wanaomba mrejesho kwa nia njema.. mleta mada anaanza kutoa shombo. Ndio maana kuna wale wazee wa kukoment shombo huwa wanafanya hivo kwa kuwa wanayajua haya yatakuja baadae
Yote kwa yote ni afadhali angeenda kuomba ushauri Facebook angepata ushauri mzuri kuĺiko huku....jamii forum walioifaidi ni kuanzia inaanzishwa mpaka 2015 baada ya hapo utoto ni mwingi mnoYaan mtu anafungua thread ya kuomba ushauri wa mambo ya biashara kwa nia njema.. baada ya muda wadau wanaomba mrejesho kwa nia njema.. mleta mada anaanza kutoa shombo. Ndio maana kuna wale wazee wa kukoment shombo huwa wanafanya hivo kwa kuwa wanayajua haya yatakuja baadae
Unataka umnunulishe jamaa domain auKwanini utumie hela yako kununua bidhaa? Kwanini usifanye watu wanaagiza wewe unawaletea wanachotaka wakati wameshalipia badala ya kutumia hela yako.
Fanya kama app kikuu. Unaweza ni cheki PM kupata maelezo zaidi.