Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

Mtu akihitaji supplier contacts namuuzia
Tunataka experience yako, utushirikishe ulipofikia kama ulivotushirikisha mwanzo.... Mzunguko wa 10m, umefanikiwa kuagiza na bado unaendelea, uliona fursa nyingine, au mambo yalishindikana.

Ila kama umefikia huku kuuza contact za supplier wasomi tushakuelewa 😂
 
We bado fukara. Kama unauza contanct.
Sijawahi kujinasibu kwamba mimi ni tajiri. Ufukara ninao na ninatamba nao una nyiongeza? Kuna watu hamuwezi kubishana kwa hoja kistaarabu sasa endelea kuniletea shombo ndio utanijua nilivyo fukara kuanzia fikra mpaka kinywa
 
Yaan mtu anafungua thread ya kuomba ushauri wa mambo ya biashara kwa nia njema.. baada ya muda wadau wanaomba mrejesho kwa nia njema.. mleta mada anaanza kutoa shombo. Ndio maana kuna wale wazee wa kukoment shombo huwa wanafanya hivo kwa kuwa wanayajua haya yatakuja baadae
 
Mleta Uzi anashindwa kuelewa kuwa, Kuna wanaotoa ushauri na Kuna wanachukua ushauri anaopewa yeye pia.....!
 
Yaan mtu anafungua thread ya kuomba ushauri wa mambo ya biashara kwa nia njema.. baada ya muda wadau wanaomba mrejesho kwa nia njema.. mleta mada anaanza kutoa shombo. Ndio maana kuna wale wazee wa kukoment shombo huwa wanafanya hivo kwa kuwa wanayajua haya yatakuja baadae
Yote kwa yote ni afadhali angeenda kuomba ushauri Facebook angepata ushauri mzuri kuĺiko huku....jamii forum walioifaidi ni kuanzia inaanzishwa mpaka 2015 baada ya hapo utoto ni mwingi mno
 
Kwanini utumie hela yako kununua bidhaa? Kwanini usifanye watu wanaagiza wewe unawaletea wanachotaka wakati wameshalipia badala ya kutumia hela yako.

Fanya kama app kikuu. Unaweza ni cheki PM kupata maelezo zaidi.
Unataka umnunulishe jamaa domain au
 
Back
Top Bottom