Bidhaa tofauti za watoto zinauzwa kwa bei rafiki

stewie

Senior Member
Joined
Sep 30, 2019
Posts
118
Reaction score
281
🔹Audio Card readers za watoto
-: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk
-: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji na inakuja na usb yake ya kuchajia pia ina nyimbo ya alphabets
Bei 28,000 Tsh

🔹Bidhaa ya pili ni baby feeders.
-Rahisishia mama kazi ya kulisha mtoto miezi sita kuendelea
-Material ni silicon so ni salama hata mtoto aking'ata hawezi umia
-Unaweka chakula ndani mfano mtori kisha unaminya na inatoa chakula mtoto atakula bila kujikwagia chakula na ni rahisi kuosha
Bei 9,500 Tsh

🔹Bidhaa ya 3 ni Head safety caps za watoto wanaoanza kutambaa na kutemebea
-Inalinda kichwa cha mtoto akidondoka asiumie pale akianza jifunza kutambaa na kutembea, ni adjustable na rahisi kufulika
-Epusha mwanao kupata head injuries utotoni asije tusumbua huku jamiiforums akiwa mkubwa 🤣
Bei 16,000 Tsh

🔹
Bidhaa ya 4 ni safety car seats strap za watoto
-Kwa wazazi wenye magari hizi unaweka pale seat ya nyuma inafungwa na mikanda yake so mtoto atakua salama ukiendesha gari
-Ni rahisi sana kuifunga na hii ni bei nzuri sio kama zile kubwa za laki nne huko
-inafaa mtoto wa hadi miaka minne
Bei 29,000 tsh

Nipo Dar es Salaam, Sinza.. Call 0712870612 karibuni sana.
 
Subiri wa kishua waje sisi wa majimatitu utasabisha turogwe bure watoto wetu wakiwanavyo hivo vitu.
 
Subiri wa kishua waje sisi wa majimatitu utasabisha turogwe bure watoto wetu wakiwanavyo hivo vitu.
hiyo ya kulisha mtoto bei poa tu huwezi logwa kisa buku 9 mwamba 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…