Bidhaa toka Tanzania na Uganda zapandishiwa Tozo nchini Kenya

Leta ushahidi wa tozo zilizoongezwa. Vinginevyo hizo ni propaganda tu za kuichafua Kenya.
 
Kwa sababu Mzee Kenyatta alimchana ukweli anaongoza maiti
 
Hatuna Rais kwa sasa, tuvumilie tu ujinga wowote kutoka kwa majirani, mama ukimsifia tu
unamteka akili kama binti mdogo anavyokenua akiwa anatongozwa tongozwa.
Niliwahi kuandika hivi kwenye mada fulani, mada nzima iliondolewa.

Lakini ukweli ndio huo. Mama ni mtu mwenye huruma, ni 'sentimental'. Kama uliwahi kuona video alipomtembelea Lissu hospitalini, Nairobi utatambua ninaloandika hapa.

Pengine uzoefu wa ofisi utamsaidia kidogo kuachana na hali hii, sijui.
 
Kwani Kenya wametuzuia kuuza bidhaa zetu marekani?

Mbona pamba nyingi tunawauzia nchi za ulaya na China kuliko hata Kenya,shida iko wapi hapo?

Hoja yako ni ipi kwenye hili bandiko lako?
 
Kwani Kenya wametuzuia kuuza bidhaa zetu marekani?

Mbona pamba nyingi tunawauzia nchi za ulaya na China kuliko hata Kenya,shida iko wapi hapo?

Hoja yako ni ipi kwenye hili bandiko lako?
Ni wapi uliponisoma nikiandika kwamba "Kenya wanatuzuia kuuza bidhaa zetu marekani", mkuu kama siyo kukosa uelewa wako wa kilichoandikwa hapo!
 
Serikali yenyewe licha ya uwepo wa miti mingi hapa Furniture zote wananunua kutoka china na kwingineko badala ya kuwezesha wazalishaji wetu wa ndani kwa kununua bidhaa zao huoni tatizo ni la serikali iliyojaa watu wenye akili mfu ?
 
Aina ya viongozi tuliyo nayo inasadifu sisi ni watu wa aina gani.

Sasa kama hatuna aina ya viongozi ambao hawawezi kufikiri critically, basi hata sisi wengi wetu tupo hivyo,

Kama research inayosema only intelligent people cover 5 % of the said society,

Basi hali ni mbaya sana maana hao the 5% ambao ndio intelligent hawapo kabisa huko Kwa wanaofanya maamuzi. Au sijui tusemeje??
 
Ukitaka kumuua nyoka hakikisha unakiponda kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…