Bidhaa toka Tanzania na Uganda zapandishiwa Tozo nchini Kenya

Bidhaa toka Tanzania na Uganda zapandishiwa Tozo nchini Kenya

Muong mkubwa huy mimi siungi mkono hoja hiyo
Moja Ujerumani wamejenga uchumi mkubwa je kulikuwa demokrasia
Mbili china inauchumi mkubwa je kuna demokrasia hayo ni mawazo ya wasio na uthubutu mkuu na wenye kuona mawazo ya nje
Screenshot_20210703-113243.jpg
 
Kitendo cha kupandisha tozo kwenye mafuta ndiyo kumehariba kila kitu...
 
Hawa Wakenya sometimes huwa ni wapumbavu Sana ,sasa mnataka kukuza ushirikiano wa biashara kikanda au? Tzn ni wakati sasa wa kutafuta wawekezaji wa ku export Nje ya EAC
 
Sababu kama hizi ndio zinanifanya niamini Mtanzania halisi toka nchi ipate uhuru ni Mwalimu Nyerere na Mzee Magufuli....hawa wengine ni wavamizi tu
 
Politics in actions..

Ukimsikiliza Uhuru alivyoongea pale Kenya wakati Mama Sasha amefanya ziara huwezi amini kama kweli kapandisha tozo.
Nyang'au katika ubora wao!! Jamaa hawa hujisikia fahari sana wanapoonyesha unyang'au!! Inabidi tukubali tu kuwa unyang'au ndiyo sera ya jirani!! No way out !!
 
Nyang'au katika ubora wao!! Jamaa hawa hujisikia fahari sana wanapoonyesha unyang'au!! Inabidi tukubali tu kuwa unyang'au ndiyo sera ya jirani!! No way out !!
Unyang'au ndio sera zao, ni lazima uwe nyang'au na hawa.
 
Back
Top Bottom