Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE).
maparachichi ya Kenya
pilipili ya Rwanda
kahawa ya Ethiopia
asali ya Zambia
divai ya Afrika Kusini
Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE).
Uchumi mnao, mmeukalia tu! Mmebaki kunyoosha vidole! Hizi channel kwetu zimekua za michongo sana na wenye ramani hizo wanyimi sana ukijumlisha na misururu ya vibali, waache wenye fursa na sera nzuri wazitumie