Bidhaa za msingi zinapanda bei, CHADEMA mko kimya kabisa kama vile hamuoni

Wananchi wa chini ndio tunaoumia
 
Kwani CHADEMA na ACT ndio wanashughulikia masuala ya bei za vitu ?

Si kuna wabunge lukuki ambao ni wawakilishi wa wananchi ?
Na suala la Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi watuachie sisi Wananchi wenyewe tutaamua wasituingilie wao waendelee na mambo yao mengine
 
Una washwwawashwwa kama huo utomvu wa Agemona mexicana umo
 
Hawa wapuuzi wana Nufaika na Hathari hii. Ndio maana hawaongei hawa ni Mbwa mwitu ndani ya Mwili wa kondoo.

Walimzodoa Mzalendo wetu Magufuli Ambaye Alikua bega kwa Bega na wananchi wake hakutaka Wananchi wake Wapate shida.

Leo Mitozo kila maali mifumuko ya bei kila kukicha huyasikii yakiongea Majizi haya. [emoji20]
 
acha wazimu chadema wafanye nn sasa ndo wenye serikali? Endeleeni kuisoma namba mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…