Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
SOURCE: The Chanzo

1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6
2.🍻Bia- Bilioni 609
3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320
4.📲Simu- Bilioni 320
5.🚬Sigara- Bilioni 275
6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188
7.🧋Sukari- Bilioni 89.6
8.🧱Saruji- Bilioni 75
9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72
10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
 
kitu cha bia
Screenshot_20241023_172809_com.android.gallery3d.jpg
 
SOURCE: The Chanzo

1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6
2.🍻Bia- Bilioni 609
3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320
4.📲Simu- Bilioni 320
5.🚬Sigara- Bilioni 275
6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188
7.🧋Sukari- Bilioni 89.6
8.🧱Saruji- Bilioni 75
9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72
10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
Duh kwa hivyo watu wasipolewa uchumi utayumba
 
Shikamoo Walevi. Ninyi ni watu wa muhimu. (Bia-609B)+(Spirits-320B)=929B. Bado kidogo mtafikisha 1T. Ukijumlisha mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi, pia mafuta ya kusambazia bia na pombe. Nahisi 1T inafika



Je watu wa kamari wanaleta Bilioni ngapi?
Je bandari, vat, forodha zinaleta ngapi?








Leteni na mchanganuo wa makusanyo ya mapato ya Kodi
 
Back
Top Bottom