Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Shikamoo Walevi mwaka 2023/24 mmechangia Tsh 929B. Mpewe maua yenu

Ukijumlisha hela ya bia na spirit, na hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi nahisi 1T inafika

SOURCE: The Chanzo

1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6
2.🍻Bia- Bilioni 609
3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320
4.📲Simu- Bilioni 320
5.🚬Sigara- Bilioni 275
6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188
7.🧋Sukari- Bilioni 89.6
8.🧱Saruji- Bilioni 75
9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72
10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54

Mtu ukipiga hesabu hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi na ukajumlisha mafuta ya kusambazia bia nahisi 1T inafika.



Walevi wapewe maua yao.
 
Back
Top Bottom