Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Ila huyu dogo Yeye kasaidia yatima wangapi?
 
Dume likiwa na tabia za mipasho bora livae sidiria ijulikane
 
Bado alikuwa na mifano mingi tu ya kutimia. Si dhambi kuwekana sawa.
 
Si kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa Angela's kimya kama hajayaona.
Nikweli kabisa. Kwanza idris hakutaja jina la mtu wala jina la mtoto yeyote. Sema hamisa anajihisi tu kama mwenzetu alivyosema apo juu kua " incubator kakasirika.[emoji28]
 
Incubator kakasirika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kakaangu anatafuta mtoto naona huyu hamisa incubator atafaaa kututotolea walau wawili ngoja nimpange bro
 
Idris katoa ushauri kwa Diamond sasa hamisa analia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…