Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Haya hayaa dakika chachee tu baada ya mshind wa big brother na pia ni komedian maarufu hapa nchini Tanzania bwana idriss sultan kuandika caption kwa nia ya kumtakia heri ya kuzaliwa mwanamuziki diamond platnumz. Caption hio imemchukiza hamisa mabeto akihisi kasemwa yeye kiasi cha kumtolea mapovu idriss

CAPTION YA IDRISS
View attachment 601054

MAPOVU YA HAMISA NA JIBU LA IDRISS
View attachment 601041
Ila huyu dogo Yeye kasaidia yatima wangapi?
 
Dume likiwa na tabia za mipasho bora livae sidiria ijulikane
 
kapanic buree..
huyo idd nnavoona ujumbe ni kama alikua anamuweka mwanaume mwenzie kwenye mstari
manake anamimbisha huku na kule bila mpangilio..matokeo kesho akiwa hayupo duniani ataacha watoto wake wakiteseka.
mtu mwenye zaid ya milion anashindwa kununua condom akaxuia hili la kuacha watoto wasio na familia za kujistir hapo kesho

na huyo mswahili kahis anasemwa kwa mafumbo...yani kapayuka nonsense vibaya mnoo
Bado alikuwa na mifano mingi tu ya kutimia. Si dhambi kuwekana sawa.
 
Si kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa Angela's kimya kama hajayaona.
Nikweli kabisa. Kwanza idris hakutaja jina la mtu wala jina la mtoto yeyote. Sema hamisa anajihisi tu kama mwenzetu alivyosema apo juu kua " incubator kakasirika.[emoji28]
 
Hivi carry mastory ndo huyo huyo idriss?
Huyu ndiye carry.

Screenshot_2017-10-03-13-22-16.jpg
 
Incubator kakasirika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kakaangu anatafuta mtoto naona huyu hamisa incubator atafaaa kututotolea walau wawili ngoja nimpange bro
 
Idris katoa ushauri kwa Diamond sasa hamisa analia nini?
 
Back
Top Bottom