mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Diamond kaoa mwanamama saizi na mama yake aibu kubwa ndio maana yanamfika ya kumfika.
We jamaa unadanganyika kirahisi mnoBado hujamjua Idriss wewe.
Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.
Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
Hahaha eti miradi kibao! Yaani anasotea kamshahara kwa laki 6 redioni na bado unamsifu ana miradi kibao! Hahaha kweli wabongo mkimpenda mtu mtamkingia sana kifua hata kama akinya kwenye sahani (Like magufuli ampendavyo Makonda) . Tena Iddris ajionee huruma mwenyewe Mil. 500 kala na wema hata mtoto hakupata wakati mwenzie Rav 4 na laki 5 kwa wiki zimempa mtoto mzuri sana atayekuja kumfaa hata baadaeBado hujamjua Idriss wewe.
Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.
Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
Mtoto anauma Dada tena mnooSi kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa angekaa kimya kama hajayaona.
Una mtoto?kama huna omba upate halafu mwanao adhalilishwe kimajungu hata km hamumpend hamisa heshimuni watoto bwanaaIdris katoa ushauri kwa Diamond sasa hamisa analia nini?
Wabongo wanasema hata kama mfukoni una milioni moja lakini ukiona njiani kuna shilingi mia lazima uokote.Hahaha eti miradi kibao! Yaani anasotea kamshahara kwa laki 6 redioni na bado unamsifu ana miradi kibao! Hahaha kweli wabongo mkimpenda mtu mtamkingia sana kifua hata kama akinya kwenye sahani (Like magufuli ampendavyo Makonda) . Tena Iddris ajionee huruma mwenyewe Mil. 500 kala na wema hata mtoto hakupata wakati mwenzie Rav 4 na laki 5 kwa wiki zimempa mtoto mzuri sana atayekuja kumfaa hata baadae
Yaani mtoto anavyouma halafu mtu anidhalilishie mwanangu haaaa...nshamkunja bodaboda kwa kushindwa kumuambia mwanangu pole baada ya kumpushHahaha eti miradi kibao! Yaani anasotea kamshahara kwa laki 6 redioni na bado unamsifu ana miradi kibao! Hahaha kweli wabongo mkimpenda mtu mtamkingia sana kifua hata kama akinya kwenye sahani (Like magufuli ampendavyo Makonda) . Tena Iddris ajionee huruma mwenyewe Mil. 500 kala na wema hata mtoto hakupata wakati mwenzie Rav 4 na laki 5 kwa wiki zimempa mtoto mzuri sana atayekuja kumfaa hata baadae
Ndio tatizo la kuwa super star. Kulinda chat yako mujini[emoji3] [emoji3] [emoji3]Si kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa angekaa kimya kama hajayaona.
Kumbe alichezea kwenye mbunye!!! Mtaji wa viatu ulimpa wewe??Huyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera
Asante nitamwambia hayaWe dada aliyekuoa kapata mke aisee
We ni balozi wake?mfuatilie utajua tu.