Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Bado hujamjua Idriss wewe.

Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.

Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
Hahaha eti miradi kibao! Yaani anasotea kamshahara kwa laki 6 redioni na bado unamsifu ana miradi kibao! Hahaha kweli wabongo mkimpenda mtu mtamkingia sana kifua hata kama akinya kwenye sahani (Like magufuli ampendavyo Makonda) . Tena Iddris ajionee huruma mwenyewe Mil. 500 kala na wema hata mtoto hakupata wakati mwenzie Rav 4 na laki 5 kwa wiki zimempa mtoto mzuri sana atayekuja kumfaa hata baadae
 
Wabongo wanasema hata kama mfukoni una milioni moja lakini ukiona njiani kuna shilingi mia lazima uokote.
 
Hahaha eti miradi kibao! Yaani anasotea kamshahara kwa laki 6 redioni na bado unamsifu ana miradi kibao! Hahaha kweli wabongo mkimpenda mtu mtamkingia sana kifua hata kama akinya kwenye sahani (Like magufuli ampendavyo Makonda) . Tena Iddris ajionee huruma mwenyewe Mil. 500 kala na wema hata mtoto hakupata wakati mwenzie Rav 4 na laki 5 kwa wiki zimempa mtoto mzuri sana atayekuja kumfaa hata baadae
Yaani mtoto anavyouma halafu mtu anidhalilishie mwanangu haaaa...nshamkunja bodaboda kwa kushindwa kumuambia mwanangu pole baada ya kumpush
 
Si kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa angekaa kimya kama hajayaona.
Ndio tatizo la kuwa super star. Kulinda chat yako mujini[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ndio maan nawapenda wazee wenzangu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Huyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera
Kumbe alichezea kwenye mbunye!!! Mtaji wa viatu ulimpa wewe??
 
Binafs iddriss ananikera sana, ana kiherehere kutwa kufatilia ya watu. Kwan alishindwa kumwish birthday bila kutaja Rav 4 na hizo pesaa
 
Idris anatabia za kishoga arif, utafikiri sio mtoto wa arachuganiani...
 
Ndani ya Massa 9 ya kufanya kazi za ofisi masaa 4 hutumika kujadili maisha ya watu

Ndani ya masaa yasiyojulikana ya kuzalisha Mali Kwa mwananchi wa kawaida nusu siku nzima wengi huitumia kujadili maisha ya watu

Lengo si povu ila tuendelee tyu na udaku

Eeh sasa mtoa mada update zingne zinasemaje baada idriss kuomba msamaha wameelewana au inshu imeisha

Mange kimavi hajaipata hyo ?
 
Back
Top Bottom