Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Bifu jipya mujini, Hamisa Mabeto vs Idriss Sultan

Iddi na Nasibu wameshare mwanamke angefanya kumuacha nasibu bila kumuongelea tuuu, yeye kwa wema alivaa huo mpira?
 
Huyo Idris atulie yeye alimaliza fedha zake.kwa malaya hakuwahi kutoa hata kwa yatima kama ushauri ampe tu diamond ila asimtumie mobeto na mtoto
 
We jamaa kuna ishu gani nyuma ya pazia kati yako na Idris...??? Inaelekea unamjua sn yan..??

Ila kuwa makini. Usije ukayaweka rehani marinda yko. Kumfuatilia sn mwanaume mwenzako this much, kumjua inside out, ni hatari.
Hahahahahaha


Wapambe ndio hawa mkuu
 
kapanic buree..
huyo idd nnavoona ujumbe ni kama alikua anamuweka mwanaume mwenzie kwenye mstari
manake anamimbisha huku na kule bila mpangilio..matokeo kesho akiwa hayupo duniani ataacha watoto wake wakiteseka.
mtu mwenye zaid ya milion anashindwa kununua condom akaxuia hili la kuacha watoto wasio na familia za kujistir hapo kesho

na huyo mswahili kahis anasemwa kwa mafumbo...yani kapayuka nonsense vibaya mnoo
Aisee umeolewa????
 
idris ni mtu wa utani saana nashangaa mdada kamaindi
 
idris ni mtu wa utani saana nashangaa mdada kamaindi
sasa huo sio utani..ni ujumbe mzito..mwenye akili araelewa idriss kamshauri nini mond.
hapo kihanja kashika mia tano..na hivi alivo tajiri ukimpa hiyo mia tano or akishika huwa anajiuliza hii ni ya nini? haoni thamani ya mia tano.
lakini mia tano ina uwezo wa kumnunulia condom akaepusha mimba kwa michepuko yake.
akaepusha kuzaa ovyo bila mpangilio na kuepusha watoto waliokosa familia na kuishia mitaani kwa maisha magumu.

honestly hakuna kitu kibaya kama mtoto kukosa mapenzi ya wazaz wote..
 
Kwahiyo Hamisa amethibitisha kwamba alikuwa anakula 70K na kanunuliwa gari ingawaje kuna watu walikuwa wanasema hizo ni kiki tu za Diamond!!!
 
Huyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera
Ndo hapo sasa, jamaa alipata zaidi ya milioni500 lkn saiv ni mwajiriwa, ndo maana mwana fa alisema "kama hujaandikiwa kuwa tajiri huwezi kuwa hata ukiiba hela zitapotea"
 
Bado hujamjua Idriss wewe.

Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.

Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
Anaye kiherehere sana hata hiyo kiherehere take haiendani na personality yake tooo boyish anakera sana kufatilia ya watu ya kwakwe je? Unapokea 500milion halafu unaenda kuajiriwa mbona wenzako walikunyamazia...very bad kwakweli
 
Huyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera
Uyo wakuja uyo si unaskia ata anavoongeaga sauti bado ana harufu ya mkoa
 
Back
Top Bottom