Bifu kali kati ya Diamond na Clouds Media

Nakubaliana na wewe Jana nilikua nasikiliza XXL kuna maneno yalisemwa ya Kumsifia Ali Kiba kua ni msanii wa kimataifa na hakuna kama yeye Tanzania nzima
We ulitarajia waseme nini ikiwa ukweli ni huo? Fungua Radio station ya kwako uufurahishe moyo wako na wewe. Au mwandalie kipindi mtangazaji akitangaze ulichomwandalia mkuu.
 

Kama unavyoona mkuu sijaandika kibaya na ki ukwel selikal naigopa sana tu hasa kipindi hiki jamaa hana utani
 
itakuwa ni sababu ya Jembe FM,si unajua tena biashara,ni kama vile watakuwa wanaitangaza jembe fm ili hali na wenyewe wana biashara ya radio

Nahis labda ila wanapotea sasa kinguv
 

Hahahahaha wakubali tu jamaa anaweza
 
Wabongo mnapenda watu wagombane baadae mfungue akounti instagram za matimu mwanze kutukanana, mbona karibia watangazaji wote wa clouds wamepost mondi kuchaguliwa BET mpaka DIVA ktk page yake instagram anahamasisha watu wampigie kura diamond, na account zote za instagram za clouds TV na RADIO nazo zilimpost diamond platnumz baada ya kuwa nominated BET. Kuhusu ishu ya jembe hizo sababu za kibiashara.
 

Tukubali kuna tatizo
 
Haaa haaa haaa hiii n kali
 
Majizo anamalizia hatua za mwisho kupata leseni ya ku broadcast kwenye FM wave nchi nzima, na huo ndio utakuwa mwisho wa Clouds FM.
#mchezohuuhauhitajihasira
 



Dimond ndo nani??
 
Juzi kati hapa kulikuwa na thread inaeleza kuwa Diamond anabagua Radio stations kwa kufanya interview na kutoa updates zake kupitia Clouds pekee leo tumeibuka na lingine.
Njia sahihi ya kuwakabili Clouds ni kuwa na ubora wa huduma zenu za viwango sawa na Clouds au kuzidi otherwise mnapoteza muda kuwasilibia!
Kila mara mnasema hamsikilizi Clouds lakin mko updated nao kuliko funs wake!
 

Clouds FM nao ni wa kusema muziki siyo wa mameneja flani?

Kweli, hiki kipindi cha Magufuli tutashuhudia mengi, juzi Jide kajaza watu, Ndi ndi ndi haipigwi Clouds FM lakini umekuwa kama wimbo wa Taifa.

Wenyewe Clouds wanajua hawawezi kugombana na Babu Tale wala Fela, kila mmoja namwitaji mwenzake, tatizo lao moja kubwa ni kushindwa kumlipa Diamond ili awepo kwenye matamasha yao, so wanakuwa wanajaribu kumnanyua King Kiba ili ikitokea D asiwepo akawepo Kiba basi watu tuhisi kwamba hakuna pengo.

Ni vizuri kutengeza super powers kwenye muziki bila kutafuta kuangashana, kila mtu apige kazi, apande level zake mwisho wa siku ni furaha TZ kuwa na wasanii wengi wakubwa Kimataifa.

Mkataba alioupata Kiba unaweza kuwa mwanzo wa yeye kufanya vizuri, lakini pia juhudi binafsi ndo kitu cha kwanza, kama yeye mwenyewe hawezi ku-struggle awe level kubwa Sony pia hawataweza, tutaishia kusifiana uongo tu.

Kiba akaze, mkataba huu ni platform ya kutokea kimataifa kama atakaza sana.
 
acha wasanii wetu wafanye yao kiba na diamond pigen mzigo haya sijui mabifu tupa kule.
 
Milad anatumwa Haifanyi jambo lolote kwa Kutaka mwenyewe... Hiyo si Redio yake kwahiyo hahusiki..
 
Jembe festival ni mpinzani wa Fiesta.... na inapita walipopita before .. so usitegemee promo kutoka cloudz media

Clouds recently wamepata upinzani wa kutosha kwenye kuandaa matamasha mwanzo wapinzani walikuwa East Africa Radio now wameongezeka E- FM na Jembe FM
 
Post zangu unafuta na sijandika matusi hata moja leo mara ya pili majuz nlipost kuhusu mbowe na elim yake ikafutwa leo nimepost kuhusu diamond na clouds siion jaman au kunatatizo
Tatizo avatar yako watu hawaikolei...weka ya Lowassa mambo yakunyookee
 
Ha
Hakuna mwanamuziki billionaire duniani....na ubillionare unapimwa kwa us dollars.euro money.sterling pound....hizo za "domo" ni za madafu. ..ukimwita billionaire utachekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…