Raha ya Mechi yoyote anaejua ni yule anaeshinda na sio anaepiga chenga nyingii.
Diamond ni Level nyingine kabisaaaa,acheni mas`hara kabisaa,
Then kwenye Pesa ndio kama hivyo ni Billionaire,sasa we uje ulinganishe na alikiba?
Halafu hizi ni issue za madem wa kibongo ndio wenye kuweka makundi,ila unakuta hadi midume imeingia humo.
Pesa anayomili Diamond anaweza kuanzisha kituo Kikubwa tu cha TV na Redio zaidi ya Clounds.
Leo huku Zanzibar Wapo WCB Team inafanya show,full mtete,balaaaa,nilipita pale wakati nakuja home,watu nyomi balaa.