Ishu iliyo mezani ni jamaa na ushoga na sio mambo ya Kanumba maana Kanumba mwenyewe Ana kesi ya kujibu how come alikuwa anagonga under 18?!Aisee ushahidi upi jaman.mbona sie tumemkaushia ishu ya kanumba.
Mwanamke akikuchukia ili kukukasirisha lazima akuite shoga au kibamia(hata kama hana ushahidi)
Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..
" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "
Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.
Hana akili.
Ohooooo!!!Ungesema bifu kali kati ya Babu na Mjukuu ingeleta maana zaidi
Ohoooo!!!Babu anaporomosheana matusi na mjukuu wake,
babu kazidiwa nguvu ya kutukana ameamua kwenda polisi.
Ha ha ha...Nimependa style yako. Hujafungamana na upande wowote.yeye Lulu kwanini anagombana na mtu mzima sawa na babu yake,si awe na adabu kwa wakubwa? na wewe mkubwa, kwanini unapoteza muda na watoto wadogo? hauna la kufanya?
Haya ni mjibu ya huyo lemutuz ya huyo lulu yako wapi sasakuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
View attachment 471123
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo namdharau Le Mutuz, yanini kutunishiana misuli na mjukuu wako? Le Mutuz kua basi.
View attachment 471136
Kama alimtukana hivo basi mjinga sana huyo bintiLulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.
Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau
Kubwa jinga Kweli Yani old guy like u arguing with lil girl same age as ur daughter,u need to change dude
Mh! Hebu fuatilia vizuri hapo kwenye red.kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
View attachment 471123
hujaelewa nini/? le mutuz wanamsingiziaga kwamba ni 60 years old, sio kweli, he is still young and vibrant tena always yupo kwenye full swing, inasemekana he is 25Mh! Hebu fuatilia vizuri hapo kwenye red.
mmh kwa majibu hayo sijaona kosa la Lulu zaidi ya kutolea mfano, na hii kesi mwanasheria awe Lissu.
Duh!!Soma hapa uone aliyejibiwa(mtoto mdogo dharau debe,kisa keshachungulia kila aina ya vikojoleo)
Hiyo speech imenichekesha sana mkuu yani nimecheka mpaka wakanishangaaUkitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..
" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "
Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.
Hana akili.