Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Status
Not open for further replies.
Aisee ushahidi upi jaman.mbona sie tumemkaushia ishu ya kanumba.

Mwanamke akikuchukia ili kukukasirisha lazima akuite shoga au kibamia(hata kama hana ushahidi)
Ishu iliyo mezani ni jamaa na ushoga na sio mambo ya Kanumba maana Kanumba mwenyewe Ana kesi ya kujibu how come alikuwa anagonga under 18?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..

" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "

Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.

Hana akili.
 
kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
View attachment 471123
Haya ni mjibu ya huyo lemutuz ya huyo lulu yako wapi sasa
 
Jamaa anastaajabisha sana sijui lini atatia akili kichwani ili aanze kubehave kama wa rika lake.

Kubwa jinga Kweli Yani old guy like u arguing with lil girl same age as ur daughter,u need to change dude
 
kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
View attachment 471123
Mh! Hebu fuatilia vizuri hapo kwenye red.
 
hahahaha jamaa kampa huyu mtoto hadi jumapili.....
 
Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..

" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "

Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.

Hana akili.
Hiyo speech imenichekesha sana mkuu yani nimecheka mpaka wakanishangaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom