mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Ishu iliyo mezani ni jamaa na ushoga na sio mambo ya Kanumba maana Kanumba mwenyewe Ana kesi ya kujibu how come alikuwa anagonga under 18?!Aisee ushahidi upi jaman.mbona sie tumemkaushia ishu ya kanumba.
Mwanamke akikuchukia ili kukukasirisha lazima akuite shoga au kibamia(hata kama hana ushahidi)