Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

Kibongo bongo watu wanaona sawa na mapovu yanawatoka....

Lakini kwa wenzetu si sawa....alipaswa ampe credit huyo rope rope sijui topetope

Na ingekuwa kwa wenzetu lawsuit ingemhusu

Isingemuhusu Diamond kama kweli, ingemuhusu stylist wake aliyemtag kwenye post insta.

Huyo anayelalamika angeenda kumlalamikia stylist.

Basi madizaina wote watatafuta washona nguo kwa kuwa kopi maana ni kawaida haya kutokea.

Hilo logo wapi jina la logo limewekwa kwa alichovaa Diamond?

Asepe zake hukooooo
 
Huyo disigner hana grounds za kumsue diamond labda disigner wa diamond maana diamond hatengenezi nguo
 
Huyo disigner hana grounds za kumsue diamond labda disigner wa diamond maana diamond hatengenezi nguo

OK ata mimi nilishangaa.. Sasa kwa nini anamattack mlaji wa mwisho? Au ndio mambo ya kick!
 
OK ata mimi nilishangaa.. Sasa kwa nini anamattack mlaji wa mwisho? Au ndio mambo ya kick!

Angekuwa ana tumia akili vizuri ilibidi amtuhumu disigner wa Diamond au ange ongea na Manager wa Diamond wakaelewana na ilikuwa opportunity kwao wote Diamond angeweza kuingia nae mkataba halafu ingekuwa nafasi ya yeye kujitangaza na Diamond kujitangaza lakini njia hii aliyotumia ni attack kwa mtu asiye mhusika!

Anatakiwa ku mshitaki disigner wa Diamond....
 

Tena kwa yeye shati lake la kwenye sale ni ma laki mengi na labda material sio ya kimasai watu ni kumtafuta aliyem tag kujipatia masai ones original kwa ulaini hata kama zina kabei bali unajua za ukweliii na aliyeshona ashonee watu.

Biashara itaenda TZ zaidi ya kwake aliyeropoka bila kufikiria.

Lazima katumiwa message na wa TZ wanaotaka kumuangusha Diamond sioni wapi atokeee pengine, na picha niliiona aliporusha siku 5 sasa.
 

umeona eenh!labda anataka kutangaza soko la bidhaa zake huku Afrika ndio maana ameamua kujitokeza ila hana mpya
 
Hongereni wa Tanzania mlio na msimamo wa kutotaka kuonewa kijinga kwa sababu ya wa Tanzania wengine wachache mburulazz wanaolala na kuamka kutaka kuona waliofanya bidii kuendelea wanashuka walitumia siku nzima kumpoda D wetu huko. Ni furaha hamna cha kuongelea bali D na Z tuuu hadi raha.

Hongereni kwa kama kuna wengine zaidi waliompa ukweli labda kwa nyuma huyo muuza nguo huko USA kuondoa upuuzi wake kwenye instagram page yake. Natumaini ameelewa na hata rudia maana kampa promo pia Diamond isiyo ya kawaida, tunamshukuru kwa hilo.

Ila amepakwa na kupewa facts hadi raha.

Kifesi leo katoa kali karusha kuwa - Tanzania ogopa maskini kuliko wachawi....lol
 

Attachments

  • 1432501225119.jpg
    37 KB · Views: 227

ahahaaaa!kifesi ananipaga raha sana insta!yaani huyo jamaa amempa daimond wetu booonge la promo kweli kama ulivyosema
 
ahahaaaa!kifesi ananipaga raha sana insta!yaani huyo jamaa amempa daimond wetu booonge la promo kweli kama ulivyosema

Hadi raha na zinavyompendeza sasa na D akarushia ya nyeusi na nyekundu mshono tofauti amefurahishaje hapo.
 
Baada ya wabongo kumkomalia vilivyo mbunifu wa marekani aliyemtuhumu chibu kumuibia kazi zake, sasa ameamua kuifuta ile post yake na kutupia nyingine
 

Attachments

  • image.jpg
    57.4 KB · Views: 665
acha apaee mtu na nyota yake, wanajaribu kumshusha ila ndo anazidi kupanda watasubiri Sana kwa chibu...
 
Dah diamond mganga wake wa kigali sijui wanatumia dawa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…