mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Kibongo bongo watu wanaona sawa na mapovu yanawatoka....
Lakini kwa wenzetu si sawa....alipaswa ampe credit huyo rope rope sijui topetope
Na ingekuwa kwa wenzetu lawsuit ingemhusu
Isingemuhusu Diamond kama kweli, ingemuhusu stylist wake aliyemtag kwenye post insta.
Huyo anayelalamika angeenda kumlalamikia stylist.
Basi madizaina wote watatafuta washona nguo kwa kuwa kopi maana ni kawaida haya kutokea.
Hilo logo wapi jina la logo limewekwa kwa alichovaa Diamond?
Asepe zake hukooooo