Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

Big up bro uko very talented katika kujieleza,nimeifatilia sana hiyo saga na kule insta kuna boya mmoja ana jiita Gossipcourt alikia anashadadia sana kumbe fa.la tu!!
Pamoja sana! Kinachonifurahisha kuhus Diamond ni kwamba, watu dizaini ya huyo Gossipocourt ndio wanaomfanya azidi ku-work hard but smart! He takes all haters as a challenge and never considers them as a problem! Siku moja wakati anahojiwa XXL alitamka wazi kwamba sometimes huwa anakasirika ile mbaya na kuamua kuandika bonge la ujumbe against haters lakini mara zote, finally anaamua kupotezea na kuto-post na badala yake kuamua kuwajibu watu kwa vitendo ambavyo ni positive!!!
 

na wanaumia kwelii, hasa akiwa na show wanajua lazima ajaze,, sasa Jana watu wamelala na maumivu... ukimchukia chibu unapungukiwa kitu aisee ile ni level nyengine na wenyewe wanajua sema basi tu roho za kichawi, yani nimegundua wengi wanaomchukia ni wenye roho mbaya wanaopenda mtu asifanikiwe..
 
Asante mkuu kwa udadavuzi chige
 
Last edited by a moderator:
Mi niliwaangalia tu nikawaona huyo mbwa masta anavyoshabikiaaaa
 
haters watajutaa maana ndo kwanza wanamfungulia njia..

Yaani wamekaa wakaamua kwenda kujaribu kumshusha D sijui FBI au CIA ndio waje wamfunge maana huu wivu umezidi.

Kwa uzi mwingine humu wamesema yule mchagga alivalia njuga hii issue insta .... watakuwa wanalia kushindwa tena kisa umaskini na wivu wao.
 
Nilihisi tu ichi kitu huyu jamaa anatafuta kupanua bizness yke kwa kupitia kwa mondi bin laden" noma sana mkubwa mkubwa 2" Tz Icon

Huyu jamaa lazima amemsakama D kwa kutonywa na waTanzania waliotaka kumshusha D kuwa anaibiwa maana alidai LOGO yake ndio imetumika, Duh alikipata shambulizi hatasahau.
 
Yaani wamekaa wakaamua kwenda kujaribu kumshusha D sijui FBI au CIA ndio waje wamfunge maana huu wivu umezidi.

Kwa uzi mwingine humu wamesema yule mchagga alivalia njuga hii issue insta .... watakuwa wanalia kushindwa tena kisa umaskini na wivu wao.

yaani ukiwa na roho yakichawi ni shidaa hutaenjoy maisha, unakuta mtu anakwambia mi namchukia diamond ukimuuliza kwa nini eti anakujibu anamisifa Sana, ukimuuliza misifa ipi hiyo anakosa la kujibu, mtoto wa watu kasota Sana tandale kahustle Sana kutafuta maisha mazuri hadi Leo kapata hela wanaanza kusema anasifa sa sijui hawataki atumie hela zakee wanataka awape wao, kachuma kwa jasho lake acha aenjoy maisha, hard work pays.. wamuwaacheeee na uchawi wao mxxiiiuuuu
 
Mi niliwaangalia tu nikawaona huyo mbwa masta anavyoshabikiaaaa

Lazima ndio hao hao na chaga wao wameenda kuripoti now wameshushuka.

Ilipopostiwa kwa yule mjamaa kuingia mkenge wa wapumbavu wakaitana kushangilia na ikabidi ajirudi. Atakua lazima hata hataki kuwasikia tena au kashawablock pia.
 
Kazi zingine za roperpope
 

Attachments

  • 1432538973708.jpg
    47.5 KB · Views: 357
  • 1432538992834.jpg
    31.3 KB · Views: 348
  • 1432539018132.jpg
    35.8 KB · Views: 337
  • 1432539051667.jpg
    36 KB · Views: 319
  • 1432539074796.jpg
    40.7 KB · Views: 269
  • 1432539107346.jpg
    36 KB · Views: 257
  • 1432539135655.jpg
    53.5 KB · Views: 265
  • 1432539156099.jpg
    44 KB · Views: 265

naona kiingereza kinakupa tabu, huyo roper amesema hua amaind kama mtu amekopi kazi zake ila anamaind kwan jamaa kaweka logo yake ( roper) uyo dizaina cjui q nani yy ndo angeweka logo yake basi!!!!
 
naona kiingereza kinakupa tabu, huyo roper amesema hua amaind kama mtu amekopi kazi zake ila anamaind kwan jamaa kaweka logo yake ( roper) uyo dizaina cjui q nani yy ndo angeweka logo yake basi!!!!

Excuse me nimeamua kuandika hayo kwa sababu na hilo nalijua soma posts zangu zingine ujifurahishe...

Pia natumaini ulisoma comments zake chini ya aliyoyaposti kabla hajafuta
Jana mbona mie ni mmoja wapo kumshukia na facts mpaka akachoka.

WaTanzania wema walimweka alipostaili. Kulikucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…