Pamoja sana! Kinachonifurahisha kuhus Diamond ni kwamba, watu dizaini ya huyo Gossipocourt ndio wanaomfanya azidi ku-work hard but smart! He takes all haters as a challenge and never considers them as a problem! Siku moja wakati anahojiwa XXL alitamka wazi kwamba sometimes huwa anakasirika ile mbaya na kuamua kuandika bonge la ujumbe against haters lakini mara zote, finally anaamua kupotezea na kuto-post na badala yake kuamua kuwajibu watu kwa vitendo ambavyo ni positive!!!Big up bro uko very talented katika kujieleza,nimeifatilia sana hiyo saga na kule insta kuna boya mmoja ana jiita Gossipcourt alikia anashadadia sana kumbe fa.la tu!!