Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
PhotoGrid_1432454956087.jpg

Mbunifu wa mavazi toka Marekani anaeitwa Roper amelalamika sana kupitia Instagram kwamba Diamond kamuibia design yake... roper anayewavalisha wasanii wakubwa Marekani kama August Alsina, Future, Meek Mill nk ameandika hivi......

" I usually don't blast people who make or wear fakes of my designs but this person went way to far when they used my logo! diamondplatnumz is wearing fake Roperrope shirt made by a person with bad character and a strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design please reframe from using the Designers Logo because it's illegalwww.shoproperrope.com''.

Mimi namshauri Diamond na wasanii wengine wa kitanzania kuwa makini na kila kitu wanachofanya haswa kuhusu product wanazotumia coz muziki wa Tanzania sasa unapaa mpaka mbali tofauti na wana vyofikiria...Hapa kuna ishu za copyright, maana kosa alilofanya ni kupost na kutoa credit kwa Desgner wake Qboymsafi pengine bila kujua stylist wake ambae kiukweli bado ajafikia level za kuitwa dizaina (bongo dizaina hakuna bado) alikopi na kupesti dizaini ya mtu mwingine. Inaweza kuwa hana kosa lakini kikinuka yeye ndio atakuwa responsible.

Niliona Adam Mchomvu amekuja na dizain yake ya mavazi aniita Adamz Apple, kiukweli ukiangalia ile dizaini ni copy and paste sasa na huu utandawazi usishangae tukafirisiwa watu huku.

Tuwe makini sana..Na Diamond kama akiweza kukuafford uyu mchizi aongee nae biashara jamaa amtengenezee kazi zake aigeuze hii ni opportunity.
 
Upumbavu tu kutafutiana kick, eti bifu la Diamond na mwanamitindo wa Marekan Hahahaha kweli watu mmeishiwa yani katuzo kamoja tu alikobeba Kiba kanawafanya muunde skendo hahahhaha

Ahya subiri ijumaa King abebe na hizo tuzo 7 za KTMA zilizobaki sijui ndio mtaunda bifu na cris Brown.
 
Nadhani alimaanisha stylist akakosea lugha ya malkia ngumu. Watu walivyoshadadia huyo chagabibi kakomalia wakati yeye kutwa kuvaa feki
 
Diamond kajaa sana kwenye vinywa vya watz dah" ila nahisi huyu jamaa ropper cjui lazima ashangae ajawahi kupata comments nyingi kama leo alivyoweka picha ya mondi nahisi ata followers wake wameongezeka" lazma ajiulize abt this guy for sure. Comments zinakaribia 1000 sahv"
 
Ila hawa wanaandika wangemlalamikia aliyebunifu vazi ka Diamond maana aliweka kwenye caption kushukuru aliyembunia nguo hiyo...sasa anamlalamikia D iweje...aende kwa mbunifu wake waelezane.

Wamwache D mvaaji
 
Sasa nikienda kwa fundi akanionyesha dizaini nikaipenda nikamwambie nishonee kesho ni mie kusemwa au fundi

Huyo hana lolote mbunifu wa Diamond kama ka copy ni maisha ya kawaida kwa waafrika na wengine duniani

Basi hata wapopo na magazines zilizojaa mishono ya wanaoenda kwenye sherehe na misiba waliowabunia wangekuwa wanadai kila anae copy

Kutafuta kiki tu na ni lazima watu wamemwandikia naaminia sana watanzania wenye wivu kwa tabia hii.
 
Nadhani alimaanisha stylist akakosea lugha ya malkia ngumu. Watu walivyoshadadia huyo chagabibi kakomalia wakati yeye kutwa kuvaa feki

Sijakuelewa.. Nani aliyekosea lugha roper?
 
Hiyo sio bifu ila ni designer ameona copyright yake ikisiginwa na msanii ambaye kwa level yake anapaswa kuvaa original kama yeye anavyosisitiza mashabiki wake wanunue original copy ya nyimbo zake.
Makamba angekomalia sheria inayohusu copyright kwa speed hii anayotumia kukomalia mswada wa kuminya uhuru wa habari naamini watanzania wangejua faida ya original na hasara ya counterfeit goods.
 
Diamond kajaa sana kwenye vinywa vya watz dah" ila nahisi huyu jamaa ropper cjui lazima ashangae ajawahi kupata comments nyingi kama leo alivyoweka picha ya mondi nahisi ata followers wake wameongezeka" lazma ajiulize abt this guy for sure. Comments zinakaribia 1000 sahv"

Ata mimi nimeliona hilo jamaa anaonekana anapata comments chache ila leo kafunika.. Ata lugha akabadili nadhani alitumia Google translator.
 
Binafsi nafarijika kuona kwamba kumbe Diamond ana impact kimataifa kiasi kwamba hata huyo designer kaona kukaa kimya inaweza kuwa threat katika biashara yake. Anyway nina imani uongozi wa Diamond una busara na wataongea na huyu jamaa kuweza kumuelewesha na pengine atakuwa proud kuona bidhaa zake zinafika hadi huku.
 
Ata mimi nimeliona hilo jamaa anaonekana anapata comments chache ila leo kafunika.. Ata lugha akabadili nadhani alitumia Google translator.

Yap pale katumia google translator" wabongo noma sna mtandaoni. Ila kitu nachojiuliza huyu jamaa alisanukaje
 
Okay nmekusoma.. Ila bongo bwana ata watu wa kustyle tunawaita wabunifu ndio tatizo.
Shule muhimu wanashindwa kutofautisha designer mwingine na stylist ni mwingine ndo kilichomkuta dai angesema stylist wake kusingekuwa na matatizo yote haya
 
Chibu na kataja nani ....
 
Attachments

  • 1432487557125.jpg
    1432487557125.jpg
    34.2 KB · Views: 747
  • 1432487579672.jpg
    1432487579672.jpg
    45.3 KB · Views: 681
Sasa nikienda kwa fundi akanionyesha dizaini nikaipenda nikamwambie nishonee kesho ni mie kusemwa au fundi

Huyo hana lolote mbunifu wa Diamond kama ka copy ni maisha ya kawaida kwa waafrika na wengine duniani

Basi hata wapopo na magazines zilizojaa mishono ya wanaoenda kwenye sherehe na misiba waliowabunia wangekuwa wanadai kila anae copy

Kutafuta kiki tu na ni lazima watu wamemwandikia naaminia sana watanzania wenye wivu kwa tabia hii.

Yeah inawezekana kuna wabongo walimtag au walimtumia... Ila utakiwi kunakili bidhaa ya mtu ni kosa unaweza kushitakiwa, hapa inabidi ajifunze. Na wengine wajifunze.

Kama mnakumbuka single button ile sio ubunifu wa Martin.
 
Kwani mtu akija akakuvalisha wewe ndio utalaumiwa?

Hii kitu ni labda awe makini na hao wanatoa maujuzi wapi

Ila tunajijua tangu enzi asili hata nchini mwetu watu wanacopy mitindo kwenye mapicha.

Sasa mlalamikaji aende kumsaka aliye staili vazi na sio Diamond. Maana kaweka kwenye caption
 
Mh mbona hiyo nguo imekaa ki Irish Irish? au ndo Africa nasi tunajiunga?
 
Shule muhimu wanashindwa kutofautisha designer mwingine na stylist ni mwingine ndo kilichomkuta dai angesema stylist wake kusingekuwa na matatizo yote haya

Yeah kweli kabisa, ila ndio kujifunza kwenyewe sunajua wasanii wetu awajaandaliwa wahustle wenyewe.
 
Back
Top Bottom