Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

Ok mmarekani eti kafurahia amepata orders kwenda East Africa, sasa ameandikaje jionee kwenye picha

Lol anajijua kampaisha Chibu na mshonaji akafuta posts sasa kinamuuma ameenda kuandika hizi.

Ok alikuwa anauza shati on sale kwa $275

After kutoa posts za kulalamika instagram (angalia humu juu), akakaaa wee masaaachache akarudi sasa kusema anapata orders yaani biashara imeenda kimataifa akarudi kwenye website yake akatoa kidude cha sale na kuacha bei hiyo hiyo ya $275 (kashusha dhamani ya shati lake) mbavu zangu mie

Kwa kweli Diamond umemuwehuhisha huyo muuzaji hata hajielewi kabisa, hadi nimecheka

Haya jioneee bei sema za kwa sale hazikudakwa....nilitegemea asipouza kwa sale value ingepanda mara mbili sasa bei imebaki pale pale hii ni kuonyesha kuwa alikuwa anarangua sijui watu na anataka kushindana na mshonaji aliye mshonea Diamond.

D ulinunua bei gani? anataka iwe sawa. Hata kama sh 1 mwenzio anababaika.

Kumekucha Diamond hongera sana kaka, wachokonoe wao wapate kiwewe wao

Jioneee pichani eeh

Kasema mnaoshangilia D kumtakia mabaya mumeenda kununua nguo zake...aaagh mmelipa bei gani tena nyie wenye wivu na D

Nakufa mbavu mie
 
Attachments

  • 1432506210985.jpg
    1432506210985.jpg
    20.9 KB · Views: 342
  • 1432506228870.jpg
    1432506228870.jpg
    23.5 KB · Views: 334
  • 1432506272286.jpg
    1432506272286.jpg
    33.8 KB · Views: 336
😀😀😀Hahahaha dunia uwanja wa fujo post ya kwanza alimnanga kafuta kalegeza jamanii ila dimondo mtu mbayaaaa
 
Hahahaha dunia uwanja wa fujo post ya kwanza alimnanga kafuta kalegeza jamanii ila dimondo mtu mbayaaaa
na nyota inachangia,,, Leo kila kona diamond haaa, wamempromote hatarii, haters washaharibiwa usingizi tayari maana ile post ya kwanza waliifurahia hatari..
 
Ok mmarekani eti kafurahia amepata orders kwenda East Africa, sasa ameandikaje jionee kwenye picha

Lol anajijua kampaisha Chibu na mshonaji akafuta posts sasa kinamuuma ameenda kuandika hizi.

Ok alikuwa anauza shati on sale kwa $275

After kutoa posts za kulalamika instagram (angalia humu juu), akakaaa wee masaaachache akarudi sasa kusema anapata orders yaani biashara imeenda kimataifa akarudi kwenye website yake akatoa kidude cha sale na kuacha bei hiyo hiyo ya $275 (kashusha dhamani ya shati lake) mbavu zangu mie

Kwa kweli Diamond umemuwehuhisha huyo muuzaji hata hajielewi kabisa, hadi nimecheka

Haya jioneee bei sema za kwa sale hazikudakwa....nilitegemea asipouza kwa sale value ingepanda mara mbili sasa bei imebaki pale pale hii ni kuonyesha kuwa alikuwa anarangua sijui watu na anataka kushindana na mshonaji aliye mshonea Diamond.

D ulinunua bei gani? anataka iwe sawa. Hata kama sh 1 mwenzio anababaika.

Kumekucha Diamond hongera sana kaka, wachokonoe wao wapate kiwewe wao

Jioneee pichani eeh

Kasema mnaoshangilia D kumtakia mabaya mumeenda kununua nguo zake...aaagh mmelipa bei gani tena nyie wenye wivu na D

Nakufa mbavu mie

woyooooooo!!!!!wao washindi mezani sisi ushindi mtaani
 
Nilihisi tu ichi kitu huyu jamaa anatafuta kupanua bizness yke kwa kupitia kwa mondi bin laden" noma sana mkubwa mkubwa 2" Tz Icon
 
Royal penis never die easily....
Kawale na mabinti wa obama..:becky:
 
sijaelewa kitu hapa
Hiki ndicho kimetokea. Huyu Roper ni Designer yupo LA na miongoni mwa watu ambao amewavisha ni mastaa wakubwa tu like Chris Brown. Moja ya product zake, ni hii hapa:
Roper 1.jpg
Huo mzigo thamani yake $ 275; sawa na mshahara wa graduate Tanzania! Sasa basi, last week, Diamond alipiga hii kitu:

Chibu2.jpg
Hapo kwenye caption (nilipozungushia red) panasomeka S/O to ma stylist of all tym.. @qboymsafi lakini hiyo caption amefanya editing; original caption ilikuwa S/O to ma Designer of all tym.. @qboymsafi.

Inavyoelekea, "Wajumbe wa Kujitolea wa COSOTA" waliopo Tanzania walipeleka umbeya kwa Roper... na ilivyo wajumbe hawa, wakamchongea Diamond kwamba anavaa nguo zake ni kusema designer ni gboymsafi!!Yaliyofuata, ndo hayo unayoyaona kwenye post ya Roper!Fitina zimezaa business deals!!

Nimeingia account ya Ropper, hiyo post ilikuwa posted 6 hours ago, kwa LA inaelekea Saa 3 usiku as am typing! Hivi sasa hiyo a/c unaweza kudhani ni ya Mbongo manake ni Kiswahili kwa kwenda mbele... Wabongo wamevamia kama ambavyo walimvamia Mellisa Magiera! Am certain hadi anaamka (Monday for LA hours), Roper atakuta angalau 1000 new followers within 24 hours na hapo ndipo atakapozidi kupata mshituko wa who's Diamond!!!! For a record, kwa sasa anao only 33.9 Followers including wavamizi!!!
 
Attachments

Angekuwa ana tumia akili vizuri ilibidi amtuhumu disigner wa Diamond au ange ongea na Manager wa Diamond wakaelewana na ilikuwa opportunity kwao wote Diamond angeweza kuingia nae mkataba halafu ingekuwa nafasi ya yeye kujitangaza na Diamond kujitangaza lakini njia hii aliyotumia ni attack kwa mtu asiye mhusika!

Anatakiwa ku mshitaki disigner wa Diamond....

Issue wameimaliza kibiashara sasa watafanya kazi wote... Jamaa naona alikuwa anamaanisha business na kweli imefanyika business.
 
Kwa hyo mkuu hata ukionesha boksa jamaa akaona logo yake anaeza akadai mpige biz au
 
This's so sweet My Princess manake najifanyaga nipo busy ile mbaya, nikikuta mention ndo nashituka kwamba kuna jambo!!! Inapendeza kuona fitina zetu ndio mtaji wao!!!

haters watajutaa maana ndo kwanza wanamfungulia njia..
 
Hiki ndicho kimetokea. Huyu Roper ni Designer yupo LA na miongoni mwa watu ambao amewavisha ni mastaa wakubwa tu like Chris Brown. Moja ya product zake, ni hii hapa:
View attachment 254349
Huo mzigo thamani yake $ 275; sawa na mshahara wa graduate Tanzania! Sasa basi, last week, Diamond alipiga hii kitu:

View attachment 254351
Hapo kwenye caption (nilipozungushia red) panasomeka S/O to ma stylist of all tym.. @qboymsafi lakini hiyo caption amefanya editing; original caption ilikuwa S/O to ma Designer of all tym.. @qboymsafi.

Inavyoelekea, "Wajumbe wa Kujitolea wa COSOTA" waliopo Tanzania walipeleka umbeya kwa Roper... na ilivyo wajumbe hawa, wakamchongea Diamond kwamba anavaa nguo zake ni kusema designer ni gboymsafi!!Yaliyofuata, ndo hayo unayoyaona kwenye post ya Roper!Fitina zimezaa business deals!!

Nimeingia account ya Ropper, hiyo post ilikuwa posted 6 hours ago, kwa LA inaelekea Saa 3 usiku as am typing! Hivi sasa hiyo a/c unaweza kudhani ni ya Mbongo manake ni Kiswahili kwa kwenda mbele... Wabongo wamevamia kama ambavyo walimvamia Mellisa Magiera! Am certain hadi anaamka (Monday for LA hours), Roper atakuta angalau 1000 new followers within 24 hours na hapo ndipo atakapozidi kupata mshituko wa who's Diamond!!!! For a record, kwa sasa anao only 33.9 Followers including wavamizi!!!

Big up bro uko very talented katika kujieleza,nimeifatilia sana hiyo saga na kule insta kuna boya mmoja ana jiita Gossipcourt alikia anashadadia sana kumbe fa.la tu!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hyo mkuu hata ukionesha boksa jamaa akaona logo yake anaeza akadai mpige biz au

Mkuu hata ukipiga picha ukiwa umevaa boxer yenye logo ya Cr7 unapiga dili! kapige then umtag Christian Ronaldo ugipe mpunga
 
haters watajutaa maana ndo kwanza wanamfungulia njia..
Msemo kwamba ukimpiga teke chura unamwongezea safari mara zote umekuwa ukileta maana kwa huyu jamaa! Nilikuwa na msemo mmoja humu jamvini tangu mwanzoni mwa mwaka jana kwamba, kumchukia Diamond ni kutaka kujitafutia ugonjwa wa moyo bila sababu, na kweli, haipiti wiki bila haters kuwa ndani ya maumivu!
 
Back
Top Bottom