Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mi mwenyewe juzi chupu chupu nimzabue makofi!50 anagombana na kila mtu
Sasa hapo ndio anamkomoa au anamneemesha?
Hata mie naona wapo kibiashara inawezekana kabisa Ja Rule kamlipa mpunga 50 cent hili ampromote kwa njia ya beef.Wale sio domo na kiba bifu la mbele ni la kibiashara
La sasa nilanini?? Kama vile ujuw unacho ongeya unaropoka tuWale sio domo na kiba bifu la mbele ni la kibiashara
La sasa nilanini?? Kama vile ujuw unacho ongeya unaropoka tu
πππMi mwenyewe juzi chupu chupu nimzabue makofi!
He's a moneyman he knows what he's doing50 anapenda beef kuliko kula