Bifu la 50 cent na Ja Rule: 50 anunua tiketi 200 za tamasha la Ja Rule ili viti viwe tupu

Bifu la 50 cent na Ja Rule: 50 anunua tiketi 200 za tamasha la Ja Rule ili viti viwe tupu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameendelea kumuandama Ja Rule ambapo wiki hii amezua jambo kwa kununua tiketi 200 za viti vya mbele vya tamasha la hasimu wake huyo ili viwe wazi. Ja Rule anajiandaa kufanya tamasha lake kwenye ukumbi mmoja ulioko Texas nchini humo, Novemba 9 mwaka huu. Ingawa tamasha hilo bado halijafanyika, 50 Cent ameweka picha iliyotengenezwa ikionesha viti vingi vya mbele vikiwa wazi, huku akiwa amekaa peke yake akiangalia tamasha na kwa mbali wanaanza kuonekana watu wengine.
Picha: 50 Cent anunua tiketi 200 tamasha la Ja Rule ili viti viwe wazi
Screenshot_2018-10-27-21-15-49.jpeg
 
Wale sio domo na kiba bifu la mbele ni la kibiashara
Hata mie naona wapo kibiashara inawezekana kabisa Ja Rule kamlipa mpunga 50 cent hili ampromote kwa njia ya beef.

===Hail Mary===
Lil' nigga named Ja think he live like me
Talking 'bout he left the hospital, took 9 like me
You live in fantasies nigga, I reject your deposit
When your lil' sweet ass gon' come out of the closet?
 
Fif's a clown, and Rule needs that attention from Fif. This is not good for the culture tho, from a hip hop stand-point. Rappers should trade bars, not memes and what not. That's why cats like Eminem are celebrated everyday, and rightfully so. Hip hop is a big joke these days.
 
Boss wangu ajawahi kufeli[emoji23][emoji23]... Ja Rule cant beef with 50cent





Get the strap!!
 
Back
Top Bottom