Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameendelea kumuandama Ja Rule ambapo wiki hii amezua jambo kwa kununua tiketi 200 za viti vya mbele vya tamasha la hasimu wake huyo ili viwe wazi. Ja Rule anajiandaa kufanya tamasha lake kwenye ukumbi mmoja ulioko Texas nchini humo, Novemba 9 mwaka huu. Ingawa tamasha hilo bado halijafanyika, 50 Cent ameweka picha iliyotengenezwa ikionesha viti vingi vya mbele vikiwa wazi, huku akiwa amekaa peke yake akiangalia tamasha na kwa mbali wanaanza kuonekana watu wengine.
Picha: 50 Cent anunua tiketi 200 tamasha la Ja Rule ili viti viwe wazi
Picha: 50 Cent anunua tiketi 200 tamasha la Ja Rule ili viti viwe wazi