Bifu la 50 cent na Ja Rule: 50 anunua tiketi 200 za tamasha la Ja Rule ili viti viwe tupu

Huyo 50cent anaboa. Kila mtu anagombana nae. Utadhani demu kha!
 
Bifu za kicenge hizi
 
Mkongwe...
Samahani sana..!
Hivi unamaana gani kumfananisha Rap God (Eminem) na nyau..?
 
50 Ana tabia za kiswazi. Anapenda mabifu sana
50 ni msela nnya since wayback, sijawahi mpendaga kabisa yani ana tabia za kishamba sana kwa huku bongo angetokea tandale labda!
 
Bifu za kicenge hizi
50 kolo tu, ameua career ya muhuni toka mainstream na yote ni vile alikuwa hana upepo wa kumtoa mainstream kwa hitsongs, he choose the beefing path namfananisha 50 na Ney wa mitego katika minajili ya mziki! 15+ years toka aanze kuwika kashakuwa mtu mzima ila akili ya kitoto bado, shenzee
 
Ila Terror Squad walimnyoosha, Fat Joe alimzima kwa Diss Track mpaka leo sijaskia akimfata fata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…