Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,584
Le chemin du roi retail price ni 350$Man I been trying to get a bottle of this. How do I buy
me some?
Hizi vitu zimetengenezwa kwa ajili ya kutumika huko uzunguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le chemin du roi retail price ni 350$Man I been trying to get a bottle of this. How do I buy
me some?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mi mwenyewe juzi chupu chupu nimzabue makofi!
Ana bahati sana yule.....
Bifu za kicenge hiziKiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameendelea kumuandama Ja Rule ambapo wiki hii amezua jambo kwa kununua tiketi 200 za viti vya mbele vya tamasha la hasimu wake huyo ili viwe wazi. Ja Rule anajiandaa kufanya tamasha lake kwenye ukumbi mmoja ulioko Texas nchini humo, Novemba 9 mwaka huu. Ingawa tamasha hilo bado halijafanyika, 50 Cent ameweka picha iliyotengenezwa ikionesha viti vingi vya mbele vikiwa wazi, huku akiwa amekaa peke yake akiangalia tamasha na kwa mbali wanaanza kuonekana watu wengine.
Picha: 50 Cent anunua tiketi 200 tamasha la Ja Rule ili viti viwe waziView attachment 913090
[emoji23][emoji23][emoji23]nilikuona broMi mwenyewe juzi chupu chupu nimzabue makofi!
Mkongwe...Fif's a clown, and Rule needs that attention from Fif. This is not good for the culture tho, from a hip hop stand-point. Rappers should trade bars, not memes and what not. That's why cats like Eminem are celebrated everyday, and rightfully so. Hip hop is a big joke these days.
50 ni msela nnya since wayback, sijawahi mpendaga kabisa yani ana tabia za kishamba sana kwa huku bongo angetokea tandale labda!50 Ana tabia za kiswazi. Anapenda mabifu sana
50 kolo tu, ameua career ya muhuni toka mainstream na yote ni vile alikuwa hana upepo wa kumtoa mainstream kwa hitsongs, he choose the beefing path namfananisha 50 na Ney wa mitego katika minajili ya mziki! 15+ years toka aanze kuwika kashakuwa mtu mzima ila akili ya kitoto bado, shenzeeBifu za kicenge hizi