Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi

kachukia labda hv watu wanavyoongea ongea na kutoa siri zake za zamani labda

Hyo pia sababu, kuna picha flan ivi walipiga kwenye boti mengi alikuwa kavaa kaptula halaf anaonekan kazeeka, naona itakuwa ile tu, maana haikukaa kiheshima
 
dah km zile za harusi sawa mbona kylnn kazisambaza kwenye ig yake pia?

Kuna nyingine nadhan walimpa akina k lyn kwa ajil ya kwenye jarida, inawezekana yeye alizitoa kwingine, ni kama mm nikupe picha zangu uweke kwenye jarida lako tu, mara nakuja kuzikuta jf, bila shaka sitapenda kwa kuwa sio makubaliano yetu
 
ukute ht yeye hajazimsambaza ila watu wengine wamezisambaza si unajua wabongo wanachukulia kila ktu rahisi rahisi..
 
Hyo pia sababu, kuna picha flan ivi walipiga kwenye boti mengi alikuwa kavaa kaptula halaf anaonekan kazeeka, naona itakuwa ile tu, maana haikukaa kiheshima
hhhhahhaaaa sio kaonekana kazeeka,ni mzee sema wabongi hawapendi kukubali uzee au ubaya wao
ni mzee kweli sema labda alikuwa hajawekewa filter tu
 
Hyo pia sababu, kuna picha flan ivi walipiga kwenye boti mengi alikuwa kavaa kaptula halaf anaonekan kazeeka, naona itakuwa ile tu, maana haikukaa kiheshima

Sasa kama anashtaki kwa ajili ya picha.... akisikia faraja kasema (according to ubuyu wa uturn ) kuwa ndoa yao fake imefungishwa na mhudumu wa hoteli si atampeleka gerezani badala ya mahakamani????
 
faraja Kota au
 
To Imelda.... kama ni kweli zimevijishwa iwe na mfanyakazi wako au wewe mwenyewe kwa uzembe una haki ya kushtakiwa. Ifike mahali watu wajifunze kuwa serious na kazi zao.
 
Sasa kama anashtaki kwa ajili ya picha.... akisikia faraja kasema (according to ubuyu wa uturn ) kuwa ndoa yao fake imefungishwa na mhudumu wa hoteli si atampeleka gerezani badala ya mahakamani????

Kama ni kweli hii.... huyu Faraja anafaa aitwe kidudumtu.... inahusu nini kama imefungwa na muhudumu, mpishi au mfagiaji wa hotel. Ye kaalikwa kama rafiki.... umekwenda umekula, kunywa, kucheza na kulazwa kwa gharama za maharusi.... iwe ilifungwa na asiyefaa au anayefaa haikuhusu. Subiri likibumbuluka uitwe ukatoe ushahid. Hawa ndio marafiki tunaowaita backstabbers....
 
Haya wambea wenzangu akina shakoor jongo na mnaly na mwenzio imelda mtema, mwenzenu yamemkuta uko nyie jishaueni sasa kuweka picha ya muheshimiwa muone, mimi mwenyewe mpaka nimeogopa kuweka picha yake maana maisha nayapenda sana, asiyemjua mengi aka google tu ataona picha yake mi majanga sitaki sasa ivi

Cpat picha mtonyo uliomtoka yelewiii
 
Haya wambea wenzangu akina shakoor jongo na mnaly na mwenzio imelda mtema, mwenzenu yamemkuta uko nyie jishaueni sasa kuweka picha ya muheshimiwa muone, mimi mwenyewe mpaka nimeogopa kuweka picha yake maana maisha nayapenda sana, asiyemjua mengi aka google tu ataona picha yake mi majanga sitaki sasa ivi
Weka hizo picha hapa.
 
Back
Top Bottom