Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Anakwambia k-lyn sasa ivi kawa madam
Ndo keshakua mwenye nguvu mwite power halafu mengi anaonekana kafa kaoza kwa madame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakwambia k-lyn sasa ivi kawa madam
dah km zile za harusi sawa mbona kylnn kazisambaza kwenye ig yake pia?
Kuna nyingine nadhan walimpa akina k lyn kwa ajil ya kwenye jarida, inawezekana yeye alizitoa kwingine, ni kama mm nikupe picha zangu uweke kwenye jarida lako tu, mara nakuja kuzikuta jf, bila shaka sitapenda kwa kuwa sio makubaliano yetu
hhhhahhaaaa sio kaonekana kazeeka,ni mzee sema wabongi hawapendi kukubali uzee au ubaya waoHyo pia sababu, kuna picha flan ivi walipiga kwenye boti mengi alikuwa kavaa kaptula halaf anaonekan kazeeka, naona itakuwa ile tu, maana haikukaa kiheshima
Hyo pia sababu, kuna picha flan ivi walipiga kwenye boti mengi alikuwa kavaa kaptula halaf anaonekan kazeeka, naona itakuwa ile tu, maana haikukaa kiheshima
Sasa kama anashtaki kwa ajili ya picha.... akisikia faraja kasema (according to ubuyu wa uturn ) kuwa ndoa yao fake imefungishwa na mhudumu wa hoteli si atampeleka gerezani badala ya mahakamani????
faraja Kota au
Sasa kama anashtaki kwa ajili ya picha.... akisikia faraja kasema (according to ubuyu wa uturn ) kuwa ndoa yao fake imefungishwa na mhudumu wa hoteli si atampeleka gerezani badala ya mahakamani????
Haya wambea wenzangu akina shakoor jongo na mnaly na mwenzio imelda mtema, mwenzenu yamemkuta uko nyie jishaueni sasa kuweka picha ya muheshimiwa muone, mimi mwenyewe mpaka nimeogopa kuweka picha yake maana maisha nayapenda sana, asiyemjua mengi aka google tu ataona picha yake mi majanga sitaki sasa ivi
Weka hizo picha hapa.Haya wambea wenzangu akina shakoor jongo na mnaly na mwenzio imelda mtema, mwenzenu yamemkuta uko nyie jishaueni sasa kuweka picha ya muheshimiwa muone, mimi mwenyewe mpaka nimeogopa kuweka picha yake maana maisha nayapenda sana, asiyemjua mengi aka google tu ataona picha yake mi majanga sitaki sasa ivi