Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

Wabo Ngo we he ngi hawa na ka hazi za Ku fanya Ku twa Ku honge ha huji nga tuhu Hu ko insta gra ha mu Ni Hu Tu mbo tuhu na hi zo ti hi mu za ho ma ha vi ma ha vi ptu!
 
Nadhani wameambizana watumie wanawake kupata kiki. Nyie subirini huyo dogo mwingine...Sijui ray...atafanya same thing.kama bosi wao.......
 
Well said bruh, hii tasnia sasa ivi ni kama ina wasanii 2, 3, inasikitisha.
 
Ni vzr kuheshimu mawazo ya mtu atakama kaandika kitu kitakacho kukera hii nimejione kupitia maoni yako pole kijana hao waliokushambulia achana nao wamejaa ubaguzi[emoji35] [emoji35] [emoji35] mijitu mingine bhana
#Mchezo huu hauhitaji hasira#
Vijitu vingine bhana[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kwa kisa hicho huko Instagram, timu zimeamua kupambanisha wanawake hawa, nani mkari kwa kuopolewa na ....
 
baada ya muda mrefu kama mwezi au weeks kadhaa na uchovu wa kazi huwa nakuja huu kuona vituko tu nfurahi....
 
Kwani wema si alishawahi kusema mwenyewe kuwa aliwahi kutoa mimba ya marehemu kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…