Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said bruh, hii tasnia sasa ivi ni kama ina wasanii 2, 3, inasikitisha.Najaribu kujiuliza kuna nini kinachoendelea ktk hili game la music mpaka wasanii waonekane nikama wa 3 au wanne Tz iliyokua fair ktk ili game miaka michache ya nyuma wasanii kibao na song kali Ila Leo nyimbo chache kupewa kick zaidi ya za wasanii wengine.!!!!!???? SOMETHING WRONG SOMEWERE
#Mchezo huu hauhitaji hasira#Ni vzr kuheshimu mawazo ya mtu atakama kaandika kitu kitakacho kukera hii nimejione kupitia maoni yako pole kijana hao waliokushambulia achana nao wamejaa ubaguzi[emoji35] [emoji35] [emoji35] mijitu mingine bhana