Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

Kusema kweli asili za hizi timu ni kiba, kabla ya kiba Kutoka kulikuwa hamna timu, baada ya jamaa kumtangazia ubaya diamond, haitoshi akaenda kuunganisha nguvu zake na kidoti na wema ndio tim zilipoanza. Wanapiga kampeni za chini chini we dogo akosa baadhi ya tuzo anazo stahili na kama haitoshi wakahamia mtv bahati nzuri dogo akatusia. Baadae ndio ikaanza timu mondi, na peji za instagram zikafunguliwa na wapo wengine na sikia wanasapotiwa na hawa mastaa uhakika ninao. ILA NIKIRUDI KWA HARMONIZE KAKOSEA ishu ya boss wake na wema awaachie wenyewe, alafu hata maneno aliyotoa yana ukakasi masikioni si mazuri. ILA WEMA NA KIBA ndio walianzisha hizi timu wamemponda anasura mbeya, mwanaye mbaya, hajui kuimba etc lkn dogo anazidi kusogea. CHA MSINGI WEMA, KIBA NA MONDI WAO NDIO WAKUVUNJA HIZI TIMU na MONDI AONGEE NA HARMONIZE aombe msamaha. ILA ASILI ZA HIZI TIMU NI KIBA baada ya kumtangazia ubaya na hasira ya WEMA KUACHWA timu hizi zikazaliwa na zinaua sana mziki wetu. Huko nyuma kabla ya kiba kurudi kulikuwa hamna timu hata rotation ya mziki ilikuwa fair ila sasa hivi KIBA au MONDI hata wakitoa nyimbo mbaya itakuwa nzuri, bahati mbaya hizi timu zimezigawanya baadhi ya media na watangazaji a zinsababisha baadhi ya nyimbo zisionekane. Nyimbo kama subira ya kasim mganga, jafarai ft kasim mganga na nyinginezo za mwaka jana hazijapata air time za kutosha ukizitima ni nyimbo kali sana.
 
#NATAFUTAKIKI

niseme natembea na kidoti kitandani na feza kesi

Sijui nini na nini demu wa nay siwema au nimalize na wema

Stay tuned for rayvan

Nyimbo za dizain hi hazina mashiko labda wampambe sana mana ni style ya Nitoke Vipi-Misosi,Nimpende Nani-Diamond
 
Kusema kweli asili za hizi timu ni kiba, kabla ya kiba Kutoka kulikuwa hamna timu, baada ya jamaa kumtangazia ubaya diamond, haitoshi akaenda kuunganisha nguvu zake na kidoti na wema ndio tim zilipoanza. Wanapiga kampeni za chini chini we dogo akosa baadhi ya tuzo anazo stahili na kama haitoshi wakahamia mtv bahati nzuri dogo akatusia. Baadae ndio ikaanza timu mondi, na peji za instagram zikafunguliwa na wapo wengine na sikia wanasapotiwa na hawa mastaa uhakika ninao. ILA NIKIRUDI KWA HARMONIZE KAKOSEA ishu ya boss wake na wema awaachie wenyewe, alafu hata maneno aliyotoa yana ukakasi masikioni si mazuri. ILA WEMA NA KIBA ndio walianzisha hizi timu wamemponda anasura mbeya, mwanaye mbaya, hajui kuimba etc lkn dogo anazidi kusogea. CHA MSINGI WEMA, KIBA NA MONDI WAO NDIO WAKUVUNJA HIZI TIMU na MONDI AONGEE NA HARMONIZE aombe msamaha. ILA ASILI ZA HIZI TIMU NI KIBA baada ya kumtangazia ubaya na hasira ya WEMA KUACHWA timu hizi zikazaliwa na zinaua sana mziki wetu. Huko nyuma kabla ya kiba kurudi kulikuwa hamna timu hata rotation ya mziki ilikuwa fair ila sasa hivi KIBA au MONDI hata wakitoa nyimbo mbaya itakuwa nzuri, bahati mbaya hizi timu zimezigawanya baadhi ya media na watangazaji a zinsababisha baadhi ya nyimbo zisionekane. Nyimbo kama subira ya kasim mganga, jafarai ft kasim mganga na nyinginezo za mwaka jana hazijapata air time za kutosha ukizitima ni nyimbo kali sana.
Barua ndeeeeeeeeeeefu halafu umeandika upupu.
 
Everhurt mtizamo wako lkn sometimes lazima ukweli uzungumze
 
😀😀😀😀😀 haya msuli tembo matokeo singura najua hamnijui na hata nikiwambia mimi nani naamini haito wa saidia, lkn ndio ukweli wenyewe kwa hiyo unajua mwenyewe sikulazimishi ukubaliane nami UKWELI UWE UCHUNGU KUUMEZA AU UTAM KUUTEMA
 
Back
Top Bottom