Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

Hayawi hayawi yamekuwa bifu limepamba moto kati ya Dada ya Konk konk master na Dudubaya.
Mange Kimambi amemwambia Dudu aseme SU kabla video ama picha zake hazijaachiwa hewani sasa Konk yupo kimya mpaka sasa hajasema chochote,Sasa watanzania tunavyopenda umbea,Konk alikuwa na followers 15K sasa konk anafollowes 37.9K uko instargram.
Kama yeye kidume wadau mbalimbali wanasubiri konk aseme SU!! Dada wa taifa aachie Bomu.
Yeye si alimpost Ben sasa zamu yake kupostiwa kama alivyofanywa Ben.
NB:Siyo mtalaam wa umbea ndomaana sijaweka photo.
Sasa post ya Fireeeeee ya mange ina kama comments 4000 hivi na usheee.
Mi sisemi mengi ni hayo tu.
Wengine watamalizia!!!!
KONK KONK KONK!!!!!!!!!!! MASTER (IN DUDU BAYA VOIIIIIIIIIICE!!!!!
 
Ingekua vyema sn km Konki angenyamaza kimya na kumwacha bi shost aendelee na yake,lkn kwa swala la jamaa kuonyesha ushirikiano wa kumjibu yule mama[emoji38][emoji38]jamaa kz anayo
 
Sasa post ya Fireeeeee ya mange ina kama comments 4000 hivi na usheee.
Mi sisemi mengi ni hayo tu.
Wengine watamalizia!!!!
KONK KONK KONK!!!!!!!!!!! MASTER (IN DUDU BAYA VOIIIIIIIIIICE!!!!!
Mange anakua very weak ukimshambulia Ramadhani Kimambi au wadogo zake
Mange atanywea mashambulizi yakirudi kwa Ramadhani Kimambi,ni hatari sana
 
Mimi sipendi umb.. konki konki konki mastaaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…