Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiye mwanamkepekee aliewahi kufanya jeshi zima lizurure nchi nzima hata lowasa+mrema hawajagusa hiyo recordSasa mange anareputation gani mpaka useme anajishushia credit?
Itakuwa more than Nuclear ya Korea Kaskazini na Urusi.Kama hapo ndo hupendi umbeya, je ukiamua kuupenda itakuwaje?
How?Mange Kimambi ni hatar tupu!
[emoji38] [emoji38] ukiamua kuupenda ss unakua Rais wa wambea live bila chengaKama hapo ndo hupendi umbeya, je ukiamua kuupenda itakuwaje?
Ingekua vyema sn km Konki angenyamaza kimya na kumwacha bi shost aendelee na yake,lkn kwa swala la jamaa kuonyesha ushirikiano wa kumjibu yule mama[emoji38][emoji38]jamaa kz anayoHayawi hayawi yamekuwa bifu limepamba moto kati ya Dada ya Konk konk master na Dudubaya.
Mange Kimambi amemwambia Dudu aseme SU kabla video ama picha zake hazijaachiwa hewani sasa Konk yupo kimya mpaka sasa hajasema chochote,Sasa watanzania tunavyopenda umbea,Konk alikuwa na followers 15K sasa konk anafollowes 37.9K uko instargram.
Kama yeye kidume wadau mbalimbali wanasubiri konk aseme SU!! Dada wa taifa aachie Bomu.
Yeye si alimpost Ben sasa zamu yake kupostiwa kama alivyofanywa Ben.
NB:Siyo mtalaam wa umbea ndomaana sijaweka photo.
Sasa post ya Fireeeeee ya mange ina kama comments 4000 hivi na usheee.
Mi sisemi mengi ni hayo tu.
Wengine watamalizia!!!!
KONK KONK KONK!!!!!!!!!!! MASTER (IN DUDU BAYA VOIIIIIIIIIICE!!!!!
Wewe mda wa kufuatilia misutano ya wake kwa waume umeutoa wapiuyoo dudu baya nae ni mpuuzi anapata wapi muda wa kusutana na wanawake.
Mange anakua very weak ukimshambulia Ramadhani Kimambi au wadogo zakeSasa post ya Fireeeeee ya mange ina kama comments 4000 hivi na usheee.
Mi sisemi mengi ni hayo tu.
Wengine watamalizia!!!!
KONK KONK KONK!!!!!!!!!!! MASTER (IN DUDU BAYA VOIIIIIIIIIICE!!!!!
Ukiona Mange anatishia hivyo ujue mabomu yanaelekea kumuishiaMange si upost tu
Hahahaha nimecheka sana aiseeKama hapo ndo hupendi umbeya, je ukiamua kuupenda itakuwaje?