SOLDIER GENIUS
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 358
- 241
Mange hamwezi konkii konkii konkii master
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Definition ya unafiki mkuu!Wabongo kwenye unafiki tuko viwango vya juu mno kiasi cha kutisha kabisa.Kama hapo ndo hupendi umbeya, je ukiamua kuupenda itakuwaje?
Ipo mange hana lolote amesema alikuwa anampa jamba jamba tuu tuu konki konki konkii master [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna updates wakuu. Nafatilia sana huu uzi make insta situmiii
Vp hukoo?
Mbna ameshakir kwamb hakua na bomu lolote [emoji16]Ukiona Mange anatishia hivyo ujue mabomu yanaelekea kumuishia
Mange huwaga hana simile,
Upo sahihi jamaa had kapata show wasafiSizan kama konk anachakupoteza hata kama ikiwa ni insu kubwa au ndogo anachotaka yeye ni kuongelewa tu na had mda huu jamaa ndo kaiteka instergram
uyoo dudu baya nae ni mpuuzi anapata wapi muda wa kusutana na wanawake.
Daaah kila wakisikia tu konk konk konk master mapunga kichwani mawengeeeeeeDUDU BAYA KAJITOA AKILI HASWA MAANA YEYE NI SHOGA LAKINI ANA UJASIRI WA KUWATUHUMU MASHOGA WENZAKE HADHARANI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] YaaniHii nchi haiishiwi na matukio. Likitoka moja linakuja lingine ilimradi tu tuwe bize
Konki konkiiiii.....Mange kapoteana..tafta mtetezi mwngine, Mange akisikia jina la Konkii mavi yanagonga chupi yanarudKONKI LAZIMA AFUNZWE ADABU!
EBO!
Haaaaa...sawa, Mange njoo huku watetezi wako wanaibika....Konkiii ashapita njoo tu usiogope make unachungulia dirishaniJanuary alimlipia mzungu deni lla hotel bila kupenda.Mange balaa ana siri za kila mtanzania.Jiulize alijuaje miezi 6 kabla juu ya 2nd lady baadae tunajionea u dc
Aisee naona mange kapoteza kabisa hili pambano hata like zimepungua maana wafuas wake wameshajua kabisa konk master ni habar nyingineKonki konkiiiii.....Mange kapoteana..tafta mtetezi mwngine, Mange akisikia jina la Konkii mavi yanagonga chupi yanarud
Wote anayeingiliwa na anayeingilia ni mashoga,kwa mfano,hata kama wewe huwa unamuingilia wife kinyume..na wewe ni shoga!huo ndo ukweli japo ni ngumu kumeza!Shoga ni msenge
Kapoteza hili pambano, najua inamuuma sana,Aisee naona mange kapoteza kabisa hili pambano hata like zimepungua maana wafuas wake wameshajua kabisa konk master ni habar nyingine
Kwa sasa bila ubishi instergram imetekwa na konk master baada ya mange kujua kuwa kashapoteza pambano naye kaanza kujiita konk konk konk mistress, mange kapoteana kabisa mange anahitaji watu kama hawa akina konk master wale wadada sijui akina ESMA alikuwa anawaonea sana lakin kwa konk kakwama kabisaKapoteza hili pambano, najua inamuuma sana,
Dudu baya kwasasa hana cha kupoteza, kama Show kashapata wasafi, t shirt atauza , kwenye show ya wasafi, atapiga hela ,najua atashangiliwa sana,
Tatizo la mange kila kiki anataka aidandie, sasa safari hii kakosa information kabisa