Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

January alimlipia mzungu deni lla hotel bila kupenda.Mange balaa ana siri za kila mtanzania.Jiulize alijuaje miezi 6 kabla juu ya 2nd lady baadae tunajionea u dc
Haaaaa...sawa, Mange njoo huku watetezi wako wanaibika....Konkiii ashapita njoo tu usiogope make unachungulia dirishani
 
Aisee naona mange kapoteza kabisa hili pambano hata like zimepungua maana wafuas wake wameshajua kabisa konk master ni habar nyingine
Kapoteza hili pambano, najua inamuuma sana,

Dudu baya kwasasa hana cha kupoteza, kama Show kashapata wasafi, t shirt atauza , kwenye show ya wasafi, atapiga hela ,najua atashangiliwa sana,

Tatizo la mange kila kiki anataka aidandie, sasa safari hii kakosa information kabisa
 
Kwa sasa bila ubishi instergram imetekwa na konk master baada ya mange kujua kuwa kashapoteza pambano naye kaanza kujiita konk konk konk mistress, mange kapoteana kabisa mange anahitaji watu kama hawa akina konk master wale wadada sijui akina ESMA alikuwa anawaonea sana lakin kwa konk kakwama kabisa
 
Haya.
Ila mi naona bi dada anamvutia uzi kwa kupima upepo.. konk konk ..kama Ana skendo... ...ajipange!
Mwenzie yupo kazini!
 
Back
Top Bottom