Hayawi hayawi yamekuwa bifu limepamba moto kati ya Dada ya Konk konk master na Dudubaya.
Mange Kimambi amemwambia Dudu aseme SU kabla video ama picha zake hazijaachiwa hewani sasa Konk yupo kimya mpaka sasa hajasema chochote,Sasa watanzania tunavyopenda umbea,Konk alikuwa na followers 15K sasa konk anafollowes 37.9K uko instargram.
Kama yeye kidume wadau mbalimbali wanasubiri konk aseme SU!! Dada wa taifa aachie Bomu.
Yeye si alimpost Ben sasa zamu yake kupostiwa kama alivyofanywa Ben.
NB:Siyo mtalaam wa umbea ndomaana sijaweka photo.
Sasa post ya Fireeeeee ya mange ina kama comments 4000 hivi na usheee.
Mi sisemi mengi ni hayo tu.
Wengine watamalizia!!!!
KONK KONK KONK!!!!!!!!!!! MASTER (IN DUDU BAYA VOIIIIIIIIIICE!!!!!