Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

Bifu la konk! Konk! Konk! (Dudubaya) na Mange Kimambi ni balaa

Tangia nimjue Mange kimambi kuanzia mwaka 2008 hasa akitajwa tajwa kwenye mtandao wa ze utamu na magazeti ya shigongo kipindi hiko ana beef na Teddy Kalonga hajawai kusanda ila kwa ZeDudu Baya aka Kapafona aka Mapafu ya Mbwa aka Oil chafu aka Konkix3 Masta niseme ukweli "AMESANDA" karudisha mpira kwa kipa ila mwenyewe anasema hataki kutoa kiki ila kwa Ze Dudu oil chafu maana kashfa za ZeDudu za kuzibua mashoga mitaro hazina impact sana na hata hiyo ya Mr. 9c ya kumgombea balabou nayo inakosa nguvu pia coz konki anazibua mitaro ya wanaume.
ZIMEBAKI SIKU 42 KWA MANGE KUTOONGEA TENA.
MANGEKASANDA.jpg
 
Uzi mzima umejaa midume mimbeya. Mnampa kiki huyo mkimbizi kila bifu anaingilia
Kila kitu anajua Yeye!.
Kila kitu ana ushauri wake
Mkosoaji yeye!.
Afu vibaya zaidi yeye mwenyewe ana maisha ya aibuu kuliko anaowahaibisha
 
Back
Top Bottom