Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

Le mbebezz yuko na 55yrz umri wa koplo jeshi kustaafu .....huyo mzee kumbe anavyeti kma dk manyanyau degree za 3 zote za kujipa mwenyewe
 
Huyu jamaa nae badala achukue mwanamke asiekuwa na Jina atulie nae anawachukua hawa ambao wanampa skendo chafu tu..

Mbona mwenzie Cloud anapiga Kimya Kimya.

Ameanza kuchafuka baada ya kua na lulu, wakati yupo na hamisa wala hakupata hizi scandal Yule lulu sio mwanamke wa kua nae Ana gundu balaa
 
Sio mchezo ni baba yangu mdogo huyu jamaa
 

Attachments

  • 13259572_290050944665260_1590326688_n.jpg
    13259572_290050944665260_1590326688_n.jpg
    141.1 KB · Views: 129
Somebody please!!!Nani anamuelewaga Mange sasa safari hii kamgeuka Magu..eeeeh eeeh hana Rafiki huyu mama
 
Dr year+ le mabebez wazee Wa vyeti bila graduation wala picha na hata familia zao azijui walisoma lini bongo tambarare
 
Mange is s...pid. Simjui huyu mwanamama, wala huyo Majizo, Lulu or Hamisa. Nawasoma tu kwenye mitandao. But huyu the so called Mange nadhani ana matatizo kichwani. Binadamu gani unakaa kwenye mitandao masaa yote kuwashambulia wenzio? Hivi kichwa chake ni kizima kweli?? Inawezekana vipi binadamu mwenye akili timamu kila mtu kwenye sayari hii ya Mungu awe mbaya kwako??? Sijawahi kumsoma huyu Mama hata siku moja akimsifia mtu??? Yeye kazi yake ni kudhalilisha na kutukana tu?? Na hata ikitokea akakusifia kidogo basi jiandae maana kitakachofuata ni kudhalilishwa na kutukanwa vibaya mno.
Halafu ukimjibu kwa kumtoa kasoro anaku-block. Yeye anachotaka ni kusifiwa tu. Namuonea huruma sana huyo Mzungu aliyeokota huyu mama akamuoa.
Ukiingia kwenye instagram yake, kazi kubwa aliyo nayo ni kumdhalilisha Rais wetu JPM. Halafu cha ajabu huyo huyo Mange alipambana kumpigia kampeni ya kufa mtu. Sasa iweje tena leo unamdhalilisha kiasi hicho. Au kampeni zako ilikuwa kulipa kisasi kwa mtu???? Nani mzuri kwako Mange?? MKAPA, KIKWETE NA MWANAE RIDHIWANI, LOWASA, NAPE, JANUARY MAKAMBA, RAIS WETU MAGUFULI na wengine wengi wote wabaya !!! Marafiki zako wengine wa toka utotoni wote wabaya!! Tukueleweje? Mimi nadhani wewe unastahili kuishi msituni na wanyama maana binadamu wenzio wote wabaya kwako.
Mange naomba ukome kabisa kuendelea kumshambulia Rais wetu. Ulimuonea Kikwete tukakaa kimya, sasa umeanzana na Magufuli. Koma kabisa we Mama, Tena umuache afanye kazi yake kwa utulivu. Ninakuambia Mange yote unayojifanya eti unafungua watu macho ujue kuwa sisi si vipofu. Kipofu ni wewe na unatakiwa ukatibiwe akili na huo upofu ulio nao. Tulia lea watoto wako acha uchonganishi. Ninarudia tena kukuambia Mange hutokaa ufanikiwe kutuchonganisha na Rais wetu. Unapoteza nguvu na muda wako bure. Nafikiri ingependeza kama ungejishughulisha na Trump ambaye siku akichukua USA utakiona cha moto na huo mdomo wako mchafu.
Mange kwa jina YESU ushindwe na ulegee!!!!!!!!
unavita na Dada mange,jiandae
 
Kama UDJ unalipa kihivyo DJ JD angekuwa level za kina mengi bado najiuliza majizo katoa wapi pesa? Alikopa?? Siku hizi bank zinakopesha hovyo hovyo tu?
 
Watoto wzuri wameamua kuwa kioo cha ngono kwa mabinti wadogo, mweee maskini jamani. Kweli ule mstari tukufu kwenye vitabu vya dini ni wa kuwaimbisha sana watoto kila waamkapo na walalapo, 'ishike sana elimu usimuache aende" . Hawa mabinti wangekuwa wameelimika wanajishughulisha kiakili bila kuangalia maumbile yao kamwe wasinge kubali kuwa viburudisho.
Beauty with no brain makes their private parts suffer the most
 
masikini hamisa alijua kapata kumbe kapatikana, ila eliza akae akijua what goes around comes around huyo bwana kunguru hafugiki sijui anataka kuvunja record ya yule wa mitego kwa kuwa na watoto wa mama tofauti tofauti
Is second time now anapora mabwana
Hata yule lusekelo si alikua bwana wa rafiki yake?heheh
 
Back
Top Bottom