tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Le mbebezz yuko na 55yrz umri wa koplo jeshi kustaafu .....huyo mzee kumbe anavyeti kma dk manyanyau degree za 3 zote za kujipa mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa nae badala achukue mwanamke asiekuwa na Jina atulie nae anawachukua hawa ambao wanampa skendo chafu tu..
Mbona mwenzie Cloud anapiga Kimya Kimya.
hahahahNimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
unavita na Dada mange,jiandaeMange is s...pid. Simjui huyu mwanamama, wala huyo Majizo, Lulu or Hamisa. Nawasoma tu kwenye mitandao. But huyu the so called Mange nadhani ana matatizo kichwani. Binadamu gani unakaa kwenye mitandao masaa yote kuwashambulia wenzio? Hivi kichwa chake ni kizima kweli?? Inawezekana vipi binadamu mwenye akili timamu kila mtu kwenye sayari hii ya Mungu awe mbaya kwako??? Sijawahi kumsoma huyu Mama hata siku moja akimsifia mtu??? Yeye kazi yake ni kudhalilisha na kutukana tu?? Na hata ikitokea akakusifia kidogo basi jiandae maana kitakachofuata ni kudhalilishwa na kutukanwa vibaya mno.
Halafu ukimjibu kwa kumtoa kasoro anaku-block. Yeye anachotaka ni kusifiwa tu. Namuonea huruma sana huyo Mzungu aliyeokota huyu mama akamuoa.
Ukiingia kwenye instagram yake, kazi kubwa aliyo nayo ni kumdhalilisha Rais wetu JPM. Halafu cha ajabu huyo huyo Mange alipambana kumpigia kampeni ya kufa mtu. Sasa iweje tena leo unamdhalilisha kiasi hicho. Au kampeni zako ilikuwa kulipa kisasi kwa mtu???? Nani mzuri kwako Mange?? MKAPA, KIKWETE NA MWANAE RIDHIWANI, LOWASA, NAPE, JANUARY MAKAMBA, RAIS WETU MAGUFULI na wengine wengi wote wabaya !!! Marafiki zako wengine wa toka utotoni wote wabaya!! Tukueleweje? Mimi nadhani wewe unastahili kuishi msituni na wanyama maana binadamu wenzio wote wabaya kwako.
Mange naomba ukome kabisa kuendelea kumshambulia Rais wetu. Ulimuonea Kikwete tukakaa kimya, sasa umeanzana na Magufuli. Koma kabisa we Mama, Tena umuache afanye kazi yake kwa utulivu. Ninakuambia Mange yote unayojifanya eti unafungua watu macho ujue kuwa sisi si vipofu. Kipofu ni wewe na unatakiwa ukatibiwe akili na huo upofu ulio nao. Tulia lea watoto wako acha uchonganishi. Ninarudia tena kukuambia Mange hutokaa ufanikiwe kutuchonganisha na Rais wetu. Unapoteza nguvu na muda wako bure. Nafikiri ingependeza kama ungejishughulisha na Trump ambaye siku akichukua USA utakiona cha moto na huo mdomo wako mchafu.
Mange kwa jina YESU ushindwe na ulegee!!!!!!!!
Beauty with no brain makes their private parts suffer the mostWatoto wzuri wameamua kuwa kioo cha ngono kwa mabinti wadogo, mweee maskini jamani. Kweli ule mstari tukufu kwenye vitabu vya dini ni wa kuwaimbisha sana watoto kila waamkapo na walalapo, 'ishike sana elimu usimuache aende" . Hawa mabinti wangekuwa wameelimika wanajishughulisha kiakili bila kuangalia maumbile yao kamwe wasinge kubali kuwa viburudisho.
Hahanenda kamchokoze na wewe upewe za uso kama hujafululiza breed kuliko kutujazia gazeti la RAI hapa !
Welcome backNimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Is second time now anapora mabwanamasikini hamisa alijua kapata kumbe kapatikana, ila eliza akae akijua what goes around comes around huyo bwana kunguru hafugiki sijui anataka kuvunja record ya yule wa mitego kwa kuwa na watoto wa mama tofauti tofauti
Nimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Hahahahahahahah ,kwa hiyo unafuta vumbi kama kiba