Marekani sio serikali ya JPM wale wanaheshimu Uhuru wa kujieleza.Vingenevyo Trump angeshafungua kesi nyingi sana kwa vyombo vya habari vinavyomzushia uongo!Serikali ya marekani haijui...yeye sio mmarekani..
Kuna watu wana nguvu ya kumshtaki na kumchukulia hatua akiwa huko huko marekani...
Hapo ndo alipobugi step kudhani mtu kama Manji hana uwezo wa kumfungulia kesi ya jinai na madai huko huko marekani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
hahhaaaa.....haahaaa!!hakuna cha bifu wala nini!
Lulu ana jini mautii!!
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] umetisha bidadaLulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.
Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
yani huu ubuyu alikuwa anataka kuumung'unya peke yakeWarumi mwaga ubuyu wote hapa [emoji28]
Very True....Marekani wapo mbali sana kwenye maswala ya Uhuru wa mawazoMarekani sio serikali ya JPM wale wanaheshimu Uhuru wa kujieleza.Vingenevyo Trump angeshafungua kesi nyingi sana kwa vyombo vya habari vinavyomzushia uongo!
Mm pia nlimdharau sana hyo sikuHajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.
Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
Very True....Marekani wapo mbali sana kwenye maswala ya Uhuru wa mawazo
dr mwaka nae yapiYaan mange anainfluence na mambo mengi ya hapa bongo utadhan yupo hapa bongo vile. Kumbuka kilichomkuta dr. Mwaka
Le akilizz naona amekaa mbali kabsa na majizo,u know hataki kabsa urafiki
majizo wa Efm bwanakeNani kakamatwa tena na kete
AmeeeenMajanga ni sehemu ya maisha ya binadamu,nyie mnaosema hivyo hamjawahi kupata majanga? Je mnajua historia za madem/wake zenu kabla hamjawa nao? Walikuwa na nani na walipatwa na nn ? MATATIZO hayakimbiwi matatizo yanatatuliwa