Bifu la Lulu na Mange

Bifu la Lulu na Mange

Serikali ya marekani haijui...yeye sio mmarekani..
Kuna watu wana nguvu ya kumshtaki na kumchukulia hatua akiwa huko huko marekani...
Hapo ndo alipobugi step kudhani mtu kama Manji hana uwezo wa kumfungulia kesi ya jinai na madai huko huko marekani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Marekani sio serikali ya JPM wale wanaheshimu Uhuru wa kujieleza.Vingenevyo Trump angeshafungua kesi nyingi sana kwa vyombo vya habari vinavyomzushia uongo!
 
Lulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.

Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] umetisha bidada
 
Hyu LuLu ameshasahua yaliyomkuta na yule bongo movie kipindi kile akapata kiki ya maana kule kwa seroo, leo anatafuta kiki nyinginee , hajijui kama yuko peke yake anacheza na team , atakipata anachokitafuta,

* then hajaonekana mda mwingi kwenye media

√√Wakitaka wamnyamazishe wamwambie anaitwa Central p [emoji15] [emoji15]
 
Marekani sio serikali ya JPM wale wanaheshimu Uhuru wa kujieleza.Vingenevyo Trump angeshafungua kesi nyingi sana kwa vyombo vya habari vinavyomzushia uongo!
Very True....Marekani wapo mbali sana kwenye maswala ya Uhuru wa mawazo
 
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.

Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
Mm pia nlimdharau sana hyo siku
 
Watanzania bana kwa kudanganyana hawajambo. Juzi zilipoibuka rumours about barron kua autistic haukuiona reaction ya Trump? Yule aliyekosoa mavazi ya watoto wa obama ilikuaje akajiweka kando?
Very True....Marekani wapo mbali sana kwenye maswala ya Uhuru wa mawazo
 
Imekuwa kila mwanaume akiwa na Lulu anapatwa na janga kubwa.

Tumeshuudia vifo, watu kupoteza dira ya maisha na sasa tunaona bwana wake wa sasa amekutwa na mzigo mkononi na yupo ndani mpaka sasa.

Nini tatizo kwa huyu Binti ni mkosi,gundu ,ethnic au hana bahati au kuna kitu nyuma ya pazia?

Wataalam wa nyota, spirit, sosholojia nk ebu tusaidieni.
 
Majanga ni sehemu ya maisha ya binadamu,nyie mnaosema hivyo hamjawahi kupata majanga? Je mnajua historia za madem/wake zenu kabla hamjawa nao? Walikuwa na nani na walipatwa na nn ? MATATIZO hayakimbiwi matatizo yanatatuliwa
Ameeeen
 
Back
Top Bottom