Bifu la Lulu na Mange

Bifu la Lulu na Mange

Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...

Kanumba alivuta.

Kapteni mbunge wetu naye akavuta.

Majizo naye ataozea selo...

Lulu ana nini Lulu??
umemsahau seki sijui ni seti nae alivuta , mpaka ikabidi lulu afute account yake ya insta
 
lulu kuna pepo chafu linamuandama....em atete na Mungu wake kwanza jamani....
 
Sijawahi ona mange akiwa na bifu na lulu. Mange ana vita na wauza madawa na siku nyingi alikuwa anamtaja majizo. Kama lulu hataendelea na majizo basi ni maamuzi yake yeye na familia yake.
 
mange ana ful data za lulu,lulu hawez kuingia pale ataachwa uchiii

Hakuna cha full data wala nini,siku zote mange huwashambulia watu kwa kuwazushia uongo na kwa sababu wafuasi wake ni kama mazombi,kila anacho post hushangilia na kumsifia.wengi waliojazana kule wamemjua mange kupitia instagrm,lkn wanaomjua toka kipindi cha u-turn wala huwezi kuwadanganya.
 
Lulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.

Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
umeona eeehhh!!!
 
Angesubiri aolewe kwanza ndio atambe,hata hivyo Majizzo akimuacha atakuwa hakumpenda kweli.
Hamisa anashangiliaje sasa?[emoji23] .
Shoga anguu!!mwanamke km huyo wa nini...

Maana miye nilikua nahesabia siku tumzike majizzo..Mara ghafla jela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Mi km ndugu yangu!!!namshauri akimbie mbiooo
 
hivi yule mzee wa kusave reputation za watu a.k.a olivia pope wa bongo le akili kubwaazz anajisikiaje sasa ivi le super friend wake majizo kukamatwa? maana alimtetea utasema anaishi naye nyumba moja
 
Back
Top Bottom