mwanaFA na AY wanaidai tigo zaidi ya 2bilioi tshs na alienda kwenye fiesta arusha kama mtu wa kawaida akazuiliwa kuingia bila sababu waandaaji ambao ni clouds na tigo wakakana mwanaFA akasema atawapeleka mahakamani cjui imeishia wapi but seems AY na FA hawako poa na clouds although bifu la ruge limeisha kinafiki nadhani izi mtu mbili Leo zimeamua kuwa kama jdee na wote wamempost something they never do before
tigo hela mtatoa na ruge apambane na machoz yake