Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

Ni upumbavu mtu Kama Sallam kusema maneno kama hayo, ameshusha heshima yake Wala hajapiga popote
Salam ajashusha heshma yake bali kasema kitu ambacho kipo kweli.

kwani wcb pekee ndo inanyonya wasanii?,hapana zipo lebel nyingi wakiwepo na mameneja wanaonyonya wasanii,Majani kaamua kutetea wanaomtunzia familia[emoji818]
 
Vijana wa huko daslamu mnamuda na shughuli nzito sana.. Ofcoz namjua majani ila hao wengine ila muda Wakuunganisha hayo mambo yote ni hatari.
 
Okay sawa vipi hao akina Nature, Inspector na wengineo wengi waliokuwa kwenye label yake,manake mgao siku hizi Cosota waanza kuutoa japo kwa kusuasuana mpaka sasa hatujui mikataba yao ilikiwaje.
Samahani mkuu kwani cosota wakitoa mgao kwa wimbo fulani pesa anapokea prodyuza au aliyeimba? Mfano mtoto wa geti kali ikipigwa pesa inaenda kwa majani au gangwe moob?
 
Mkuu ulichoandika ni kweli kuwa ilitumika beat tu, lakini kumbuka mwanzo alilipwa jose kwakuwa walipata ile beat kutoka kwenye wimbo wa bomboclaat na sio nikusaidieje ndio p akawafata kuwaambia mliyemlipa nae ni mwizi tu, beat kuwa mali ya nani kati ya msanii na prodyuza inategegemea wakati wa kutengeneza walikubalianaje,
 
Labda Hermonize na Rayvanny wamelalamika kwa majani, au kiherehere chake tu?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sallam hanaga breki yanii... matusi haya
 
Majani ana ongea sana kama mwanamke wa uswahilini, ni kweli wanamlelea mtoto na mke wake wa zamani
 
Majani amejaa stress sasa ana tafuta mtu wa kumfia
 
Tigo pesa si salama kabisa, unaweka pesa inapotea halafu wanaanza kukupiga sound tu,,, haya wanifuate niko huku kigurunyembe
 
Kwa ujinga wako SAALAm ni mwarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…